MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: JAB Kusimamia  Mfuko wa Mafunzo kwa Waandishi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > JAB Kusimamia  Mfuko wa Mafunzo kwa Waandishi
Habari

JAB Kusimamia  Mfuko wa Mafunzo kwa Waandishi

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Mwandishi wetu, 
KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari, Wakili Patrick Kipangula amesema mbali na kutekeleza majukumu ya msingi yaliyoainishwa kisheria, bodi hiyo itakuwa na wajibu wa kusimamia Mfumo wa Mafunzo kwa Waandishi wa Habari nchini.
Wakili Kipangula amesema hayo leo Jumatatu Machi 17 , 2025 jijini Dar es Saalam, wakati akizungumza katika kipindi cha Kumepambazuka kinachorushwa na Radio One na kuelezea majukumu ya Bodi hiyo.
Ameyataja baadhi ya majukumu kuwa ni Kutoa ithibati na vitambulisho kwa waandishi wa habari wanaokidhi vigezo vilivyoainishwa katika Sheria ya Huduma za Habari na kanuni zake, kusimamia maadili ya taaluma ya uandishi wa habari na kutoa mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusu kuzingatia maadili katika taaluma hiyo.
Wakili Kipangula amesema mbali na majukumu hayo, Bodi itaanzisha na kuusimamia Mfuko wa Mafunzo kwa Waandishi utakaokuwa na madhumuni matatu yaliyoanishwa kisheria.
Ameyataja madhumuni hayo ni kuwezesha Mafunzo kwa waandishi na wadau wa habari nchini, kusaidia au kudhamini masuala ya uandaaji wa vipindi vyenye maudhui ya ndani na kufadhili tafiti mbalimbali za kihabari na maendeleo ya Uandisi wa Habari na Mawasiliano ya Umma.
Amesisitiza kuwa mfuko huo ni muhimu kwa mustakabali wa taaluma ya Uandishi wa Habari kwani kuwepo kwake ndiko kutakakofanikisha jukumu la Bodi la kuendesha mafunzo, semina, warsha na makongamano kwa Waandishi na wadau wa Habari.

You Might Also Like

NSSF Kutekeleza Mradi Wa Uwekezaji Wa Jengo La Kitega Uchumi Dodoma

Baraza La Madiwani Lampongeza Rais Samia Kwa Utekelezaji Wa Ilani

Elimu Ya Dawa Za Kulevya Kutolewa Kwa Wanafunzi

Kamati Ya Bunge Yahimiza Maslahi Ya Watumishi Wapya Yazingatiwe

Wakulima Waomba Watafiti Wa  AGRISPAK, Kuwatafutia Mbinu Kukabili Nzi Weupe

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kipaji pekee hakitoshi katika kufanya kazi za kihabari – Kipangula
Next Article Mbunge Wa Kibamba Mtemvu. Ajitokeza Kujiandikisha, Kuboresha Taarifa Zake
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Tume ya Kurekebisha Sheria Yaelimisha Umma Kuhusu Haki za Wanyama
Habari August 6, 2025
Bundi Wasaidia Kupambana na Panya: Teknolojia Asilia Inayobadili Maisha ya Wakulima
Habari August 6, 2025
Ofisa wa TARI Kuwapo Kila Kituo cha Umwagiliaji – Naibu Katibu Mkuu
Habari August 6, 2025
Mbinu Mpya za Kilimo kwa Vijana Zapata Umaarufu Nanenane Banda La VETA
Habari August 6, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?