MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Dkt Biteko Awasili Nchini India Kwa Ziara Ya Kikazi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Dkt Biteko Awasili Nchini India Kwa Ziara Ya Kikazi
Habari

Dkt Biteko Awasili Nchini India Kwa Ziara Ya Kikazi

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Mwandishi Wetu

NAIBU  Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,  Dkt. Doto Biteko leo Februari 11, 2025 amewasili nchini India kwa ajili ya kushiriki  mikutano mbalimbali ya kimataifa ya nishati.

Mikutano hiyo  ambayo inaenda Pamoja na  Maadhimisho ya Tatu ya Wiki ya Nishati ya India mwaka 2025 (India 3rd Annual  Energy Week)  kuanzia  Feubruari  11 hadi 14 ,  2025.

Katika Uwanja wa Kimataifa wa Indira Gandhi, jijini New Delhi,  Dkt.Biteko amepokelewa na Balozi wa Tanzania nchini India,  Anisa Mbega na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mafuta na Gesi India, Sandeep Jain.

Wiki ya Nishati India itakutanisha Mawaziri na Watendaji Wakuu wa Sekta ya Nishati kutoka maeneo mbalimbali duniani,  watunga sera na wavumbuzi wa teknolojia mbalimbali za kisasa za nishati kwa lengo la kuja na mustakabali endelevu wa upatikanaji nishati.

Aidha, Wiki hiyo itahusisha pia maonesho ya teknolojia mbalimbali za matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia

Katika ziara hiyo, Dkt.Biteko ameambatana na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini pamoja na baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Nishati na Taasisi zake wakiongozwa na Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu,  Innocent Luoga.

You Might Also Like

Serikali kuleta kicheko kwa TASU 

Waziri Mkuu Mstaafu Pinda Atoa Neno Kwa Vijana, Maadhimisho Miaka 30 VETA

Silinde: Serikali bega kwa bega na wadau wa kilimo

UDSM Imekuja Na App Inayounganisha Wakulima na Watoa Huduma za Kilimo kwa Haraka

Serikali Kulinda Wabunifu Wa Silaha

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wana Dodoma Wakoshwa Na Uboreshaji Mitaala
Next Article Tutumie Mitandao Kwa Matumizi Yenye Manufaa – Kilimbe
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Tulia Atoa Taarifa Kifo Cha Ndugai
Habari August 6, 2025
Tume ya Kurekebisha Sheria Yaelimisha Umma Kuhusu Haki za Wanyama
Habari August 6, 2025
Bundi Wasaidia Kupambana na Panya: Teknolojia Asilia Inayobadili Maisha ya Wakulima
Habari August 6, 2025
Ofisa wa TARI Kuwapo Kila Kituo cha Umwagiliaji – Naibu Katibu Mkuu
Habari August 6, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?