MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: DAWASA na TARURA Kuendeleza Ushirikiano Ulinzi wa Miundombinu
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > DAWASA na TARURA Kuendeleza Ushirikiano Ulinzi wa Miundombinu
Habari

DAWASA na TARURA Kuendeleza Ushirikiano Ulinzi wa Miundombinu

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Mwandishi Wetu

MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imekutana na kufanya mazungumzo na Wakala wa Barabara Vijijini (TARURA) Mkoa wa Dar es salaam yaliyolenga kuangalia njia bora ya kushirikiana katika ulinzi na utunzaji wa miundombinu katika Jiji la Dar es salaam.

Akiongea katika kikao kazi hicho, Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu DAWASA, Mkama Bwire ameeleza kuwa TARURA ni wadau muhimu sana na kwa pamoja hushirikiana na DAWASA katika utekelezaji wa kazi zao.

“DAWASA tupo tayari kushirikiana kwa karibu sana na TARURA, tunaomba kipindi cha utekelezaji wa miradi ya TARURA hasa ukarabati wa barabara tuweze kupeana taarifa mapema ili kuweza kuondoa miundombinu ya maji na kuzuia uharibifu” ameeleza Bwire.

Kwa upande wake Meneja wa TARURA Mkoa wa Dar es salaam Geofrey Mkinga ameishukuru DAWASA kwa ushirikiano na kusema kwamba wamejipanga kikamilifu kushirikiana na DAWASA katika kutekeleza malengo makuu ya Serikali ya kuwapatia wananchi huduma pamoja na utunzaji wa pamoja wa miundombinu.

You Might Also Like

OUT Yawapiga Msasa Watumishi Wa Mamlaka Za Serikali Za Mitaa

Mafunzo Yatolewa Katika Kongamano La Jotoardhi

Mfanyakazi Ana Wajibu Kupeleka Taarifa za Madai

Ridhiwani Kikwete Azindua Miradi Ya Thamani Ya Bil. 1.7 Songwe

VETA Kujenga Mahusiano Na Wenye Ujuzi, Wabunifu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kongamano la Kahawa Bora Afrika kufanyika Tanzania Februari mwakani
Next Article DKT. Biteko Ashiriki Kongamano la Nishati Safi ya Kupikia Zanzibar
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
BoT Yarahisisha Uuzaji wa Dhahabu kwa Wachimbaji, Yatoa Punguzo La Mrabaha
Habari September 22, 2025
Waziri Mkuu Apongeza Huduma Kidijitali za NSSF, Maonesho Ya Madini Geita
Habari September 22, 2025
Mkuu Wa Mkoa Shinyanga Asifu Kazi Ya Bodi Bima Ya Amana
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?