MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: CHAUMMA Yataka Kuvunja Bodi ya Korosho, Kuunda Mamlaka Mpya ya Mazao ya Kimkakati
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > CHAUMMA Yataka Kuvunja Bodi ya Korosho, Kuunda Mamlaka Mpya ya Mazao ya Kimkakati
Habari

CHAUMMA Yataka Kuvunja Bodi ya Korosho, Kuunda Mamlaka Mpya ya Mazao ya Kimkakati

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) amesema atavunja Bodi ya Korosho na bodi zote ili kuunda mamlaka moja ya mazao ya kimkakati.
Mwalim amesema serikali ya CHAUMMA itawaruhusu wakulima kuuza mazao yao popote wanapotaka ili wafaidi zao lao la biashara.
“Uzeni popote mnapotaka, iwe ndani au nje ya nchi, iwe China, kwa kuwa mimi siamini katika uuzaji wa stakabadhi ghalani.”
“Tuachane na ushamba huo wa stakabadhi ghalani… yanayotokea katika korosho na mbaazi ndiyo matokeo ya CCM.”
“Korosho usipoila kama tiba, utaila kama kiburudisho… korosho si ya mtu maskini ila nawashangaa wenye korosho yao maskini,” amesema na kuongeza, korosho ni zao pekee linalouzwa kwa mnada, tena mnada wa kwanza na wa pili.
Amewataka wananchi hao wasiuze korosho yao mpaka aapishwe Novemba mwaka huu ili aweze kuipandisha bei.
Kuhusu barabara, Mwalim amesema CCM imeshindwa kujenga sasa miaka 64 imepita.
“Wananchi wakilalamikia utasikia tupo kwenye upembuzi yakinifu… habari ndiyo hizo hizo.”
“Twendeni tukamchague rais kijana, nchi zenye marais vijana wana maendeleo.”

You Might Also Like

Kuelekea Uchaguzi Mkuu, Wanaotumika Vibaya Waonywe

Majukwaa YA Dini Yaimarishe Mapambano Dhidi ya Magonjwa Ya Mlipuko

Muswada wa Kuwalinda Wafanyakazi wa Ndani Waja

‘Skills For Their Future’ Yanufaisha Wanafunzi Zaidi Ya 1000, Walimu 64 

Sheikh Akemea Wanawake,Wanaume Wanaovaa Vibaya 

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mgombea Urais NCCR-Mageuzi Atoa Wito kwa Wananchi Kujitokeza Kupiga Kura
Next Article Serikali Yajizatiti Kukabiliana na Maafa – Majaliwa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

ARTICLE 19,  JOWUTA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA HAKI ZA WANAHABARI
Habari October 18, 2025
Profesa Ndunguru Aongoza Kikao Cha Mawaziri Wa DLCO- EA Akimwakilisha Bashe
Habari October 17, 2025
Mgombea NCCR-Mageuzi Awaasa Watanzania Wasikubali Propaganda
Habari October 17, 2025
Profesa Nombo: Ushirikiano wa VETA, Sekta Binafsi Waimarisha Mafunzo ya Ufundi Stadi
Habari October 17, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?