MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Bodi ya mkonge kutoa ajira kwa watu 10,000 ifukapo 2030
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Bodi ya mkonge kutoa ajira kwa watu 10,000 ifukapo 2030
Habari

Bodi ya mkonge kutoa ajira kwa watu 10,000 ifukapo 2030

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), itazindua mradi mpya ujulikanao kama ‘Jenga Kesho Iliyo Bora kupitia Zao la Mkonge’  katika eneo la Koba Jimbo la Makunduchi, Zanzibar Julai 27, mwaka huu.
Mradi huo unalenga katika kuwajengea uwezo au kuwawezesha vikundi vya kinamama, vijana na watu wenye ulemavu kupata utaalamu wa kuzalisha bidhaa za Mkonge kwa kutumia mikono.
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Mkonge, Saddy Kambona amesema hafla ya uzinduzi huo, itahusisha tukio la ugawaji wa Singa za Mkonge  zipatazo tani 9.6.
Amesema mradi huu ni endelevu ambapo unategemewa ndani ya miaka mitano hadi kufikia mwaka 2030 uwe umeondoa tatizo la ukosefu wa ajira kwa takribani watu wasiopungua 10,000.
“Mradi huu unalenga kuongeza matumizi ya zao la Mkonge ndani ya nchi, kupanua wigo wa matumizi ya Mkonge, kupunguza Mkonge unaosafirishwa nje bila kuuongezea thamani ambapo hadi sasa asilimia 70 ya Mkonge wote unaozalishwa hapa nchini unasafirishwa nje bila kuongezewa thamani na hivyo kusababisha nchi kukosa mapato stahiki.
“Kwa hiyo tunafanya hivyo kuisaidia serikali kutatua changamoto ya ajira nchini na kubadilisha hali za watu wetu kwa sababu kupitia uzalishaji wa bidhaa za Mkonge wataweza kutumia vizuri Soko la Utalii Zanzibar na kujipatia kipato kwa kuuza bidhaa za nyuzi asilia,” amesema.
Katika mradi huo Zanzibar, TSB inashirikiana na Ofisi ya Kamishna wa Chuo cha Mafunzo, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Unguja Kusini, Katibu Mkuu wizara ya Utalii na Mambo ya Kale, Katibu Mkuu wa Viwanda na Uchumi wa Buluu, Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii na wadau wengine katika kuhakikisha kwamba mradi huu unafanikiwa.0

You Might Also Like

Wachimbaji Wadogo Wafikiwa

COSTECH, CRDB Foundation Yazindua Mikopo Nafuu Kwa Wabunifu

Rais Mwinyi Ajionea Mifumo Mbalimbali Banda La Ofisi Ya Waziri Mkuu Sabasaba

Wiki ya kudhibiti bidhaa bandia kuhitimishwa DSM

Serikali Yatumia Zaidi Ya Bilioni 100 Kupeleka Umeme Simiyu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kagera, Geita kuanza uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura
Next Article UTT AMIS Yazindua kampeni ya ‘Kijiwe Mchongo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
BoT Yarahisisha Uuzaji wa Dhahabu kwa Wachimbaji, Yatoa Punguzo La Mrabaha
Habari September 22, 2025
Waziri Mkuu Apongeza Huduma Kidijitali za NSSF, Maonesho Ya Madini Geita
Habari September 22, 2025
Mkuu Wa Mkoa Shinyanga Asifu Kazi Ya Bodi Bima Ya Amana
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?