Na Mwandishi wetu
DODOMA: MHASIBU Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE), Angela Mutesa akiwasilisha bajeti ya 2025 ya chama hicho katika kikao kinachoendelea jijini Dodoma.
Bajeti hiyo imeidhinishwa kwa utekelezaji kwa mwaka wa fedha 2025.