MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Bahari  Ina Fursa Nyingi Zisizofahamika-Tasac
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Bahari  Ina Fursa Nyingi Zisizofahamika-Tasac
Habari

Bahari  Ina Fursa Nyingi Zisizofahamika-Tasac

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu
 SHIRIKA  la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), limesema sekta ya bahari ina fursa nyingi ambazo wananchi wamekuwa hawazifahamu ikiwemo maeneo ambayo wanaweza kusoma na kupata ajira kwa urahisi zaidi na kwamba inaongoza kwa mchango mkubwa kiuchumi hasa katika shughuli za usafirishaji.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo
Mohamed Salum amesema
hayo  katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam 2025, maarufu kama ‘Saba Saba’ alipotembelea banda la TASAC
Amesema nchi ina upungufu mkubwa wa wataalamu kupitia sekta hiyo na kwamba zipo ajira na fursa mbalimbali.
Ameongeza kuwa duniani kote kuna upungufu wa mabaharia kwa mujibu wa takwimu za uhitaji mabaharia hawajawahi kutosha kwenye Meli.
Amewataka  wananchi kutembelea banda la TASAC kwa lengo  kufahamu sekta ya bandari na mchango wake katika uchumi katika nchi.
TASAC ina majukumu mbalimbali ikiwemo majukum Udhibiti wa usafiri majini pamoja na kuchagiza sekta usafiri nchini.
Hivyo aliwaomba wananchi kutembelea katika Banda TASAC lililopo katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba ili waweze kufahamu sekta ya bandari na mchango wake katika uchumi.
“Tunawakaribisha watu waje kutembelea banda letu ili waweze wafahamu na kujua kuna fursa gani katika sekta ya bahari .
Nchi yetu ya Tanzania inaupungufu mkubwa wa wataalamu kupitia sekta hii zipo ajira na fursa mbalimbali nyingi.
“Duniani kote kuna upungufu wa mabaharia kwa mujibu wa takwimu za uhitaji mabaharia hawajawahi kutosha kwenye Meli”
Aidha amesema
“Jukumu kubwa la TASAC ni Udhibiti shughuli za usafirishaji majini kwa kuusajili vyombo vinavyojengwa nchini na kuvikagua kila hatua na kuvipa vyeti vya ubora”amesema Salum
Pia amesema wamekuwa wakifanya ukaguzi wa mara kwa mara wa vyombo pamoja na ukaguzi wa meli za kimataifa zinazokuja nchini.

You Might Also Like

Ridhiwani Aiagiza CMA Kushughulikia Migogoro Kwa Haraka, Ufanisi

TPHPA, MUCE Wasaini Hati Ya Makubaliano Maeneo Yanayogusa Sayansi

Mbunge wa Chalinze Ridhiwani, Mwenyekiti wa CCM Pwani, wawanadi wagombea wa CCM

Uzalishaji wa chuma kuanza nchini 

TARI Mlingano Yaleta Mapinduzi ya Mkonge, Viungo na Sayansi ya Udongo Tanzania

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article VETA Yafanya Mageuzi Makubwa Yaliyowezesha Wengi Kuajiriwa
Next Article   Tanesco Yagawa Zawadi Ya Majiko Sabasaba Kuhimiza Matumizi Nishati Safi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

ARTICLE 19,  JOWUTA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA HAKI ZA WANAHABARI
Habari October 18, 2025
Profesa Ndunguru Aongoza Kikao Cha Mawaziri Wa DLCO- EA Akimwakilisha Bashe
Habari October 17, 2025
Mgombea NCCR-Mageuzi Awaasa Watanzania Wasikubali Propaganda
Habari October 17, 2025
Profesa Nombo: Ushirikiano wa VETA, Sekta Binafsi Waimarisha Mafunzo ya Ufundi Stadi
Habari October 17, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?