MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Asisitiza Umuhimu Wa Kukamilisha Miradi Kwa Mujibu Kuzingatia Mikataba
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Asisitiza Umuhimu Wa Kukamilisha Miradi Kwa Mujibu Kuzingatia Mikataba
Habari

Asisitiza Umuhimu Wa Kukamilisha Miradi Kwa Mujibu Kuzingatia Mikataba

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Josephine Maxime, Dar es Salaam

MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Lazaro Twange, amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya umeme jijini Dar es Salaam, ukiwemo ujenzi wa Kituo kipya cha kisasa cha kupoza umeme kilichopo Mabibo pamoja na njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa kilovoti 220 kutoka Kimara–Ubungo–Mabibo hadi Ilala.

Akiwa katika eneo la mradi la Kituo cha kupoza umeme cha Mabibo Oktoba 7, 2025, Twange amesema licha ya mradi huo kufikia asilimia 70 ya utekelezaji, ujenzi wake unapaswa kukamilika kwa wakati kwa mujibu wa mkataba.

“Ndugu zangu, hii kazi si ndogo. Nataka mfanye kazi usiku na mchana kuhakikisha inakamilika kwa wakati. Haipendezi kufanya kazi kwa presha dakika za mwisho, hasa ikizingatiwa sababu za msingi za utekelezaji wa mradi huu zinajulikana. Hakutakuwa na sababu ya kuomba muda wa nyongeza,” amesisitiza  Twange.

Habari Picha 9812

Kwa upande mwingine, mradi wa njia ya kusafirisha umeme yenye urefu wa kilomita 16.5 umefikia asilimia 28.4 hadi sasa ambapo ujenzi wa misingi 13 kati ya 26 katika kipande cha kutoka Ubungo hadi Ilala kupitia Mabibo tayari umekamilika.

Kukamilika kwa mradi huu kunatajwa kusaidia kwa kiwango kikubwa kuongeza ufanisi wa usafirishaji wa umeme kutoka Kinyerezi hadi Mabibo jambo litakalopelekea kuimarika kwa uwezo wa kituo cha Ubungo sambamba na kuboresha upatikanaji wa umeme katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam

 

You Might Also Like

Tanzania yqpata dola bilioni 2.3 kwa kuuza matunda, kunde nje

Waandishi wa Habari wa Afrika wapata mafunzo ya Kuandika Habari za Uhamiaji

Ridhiwan Kikwete aitaka LESCO kushirikiana na serikali

RAAWU yapokea migogoro 16, yaishughulikia

Mapokezi Ya Katibu Mkuu CCM  Dkt Migiro CCM, Aahidi Ushirikiano

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Miradi Ya Kusambaza Umeme Vitongojini Kukamilika Ifikapo 2030
Next Article Sekta ya Huduma Kuchangia Asilimia 45 Katika Uchumi Wa Nchi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

ARTICLE 19,  JOWUTA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA HAKI ZA WANAHABARI
Habari October 18, 2025
Profesa Ndunguru Aongoza Kikao Cha Mawaziri Wa DLCO- EA Akimwakilisha Bashe
Habari October 17, 2025
Mgombea NCCR-Mageuzi Awaasa Watanzania Wasikubali Propaganda
Habari October 17, 2025
Profesa Nombo: Ushirikiano wa VETA, Sekta Binafsi Waimarisha Mafunzo ya Ufundi Stadi
Habari October 17, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?