MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Rais Samia Ni Mama Wa Maendeleo – Majaliwa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Rais Samia Ni Mama Wa Maendeleo – Majaliwa
Habari

Rais Samia Ni Mama Wa Maendeleo – Majaliwa

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
PEMBA: MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kuthibitisha kuwa ni mama wa maendeleo kwa kusimamia utekelezaji wa miradi mikubwa ya kijamii na kiuchumi nchini.
Akihutubia wananchi wa Jimbo la Kojani, Pemba Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita imefanikisha ujenzi wa vituo vya afya vyenye uwezo wa kutoa huduma zote za msingi, hali iliyopunguza adha ya wananchi kusafiri umbali mrefu kufuata huduma hizo.
Habari Picha 9691
“Kwa sasa wananchi hawaendi umbali mrefu kupata huduma za afya, wataalamu wa afya wameajiriwa,” amesema Majaliwa.
Amebainisha kuwa Rais Samia ametekeleza pia maono yake ya kummtua mama ndoo kichwani kupitia utekelezaji wa miradi mikubwa, ya kati na midogo ya maji, sambamba na kuvutia wawekezaji waliowekeza katika miradi mikubwa iliyotoa ajira kwa Watanzania.
Majaliwa amesisitiza kuwa Rais Samia ni mgombea pekee mwenye maono ya kuivusha Tanzania, akiwataka wananchi kujitokeza kwa wingi kumpigia kura Oktoba 29.
Katika mkutano huo, Majaliwa amempongeza mgombea wa urais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kwa kuifungua Zanzibar kiuchumi na kugusa sekta mbalimbali za kijamii.
Aidha, Majaliwa amemnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Kojani, Hamad Chande, akimtaja kuwa ni mtendaji, mzalendo na mchapa kazi.
“Ninamfahamu Chande. Ndiyo maana aliteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Fedha. Mchagueni ili aendelee kuwaletea maendeleo,” amesema.
Kwa upande wake, Chande aliwaomba wananchi wa jimbo hilo kumpa ridhaa ya kuendelea kuwa mbunge wao, akiahidi kusimamia kikamilifu shughuli za maendeleo.

You Might Also Like

Chalamila: Ujenzi Daraja La Jangwani Waanza

Vijana 26 Kwenda Kujifunza Mafunzo Ya Vitendo Nje Ya Nchi

Kasulu DC Yapongezwa Kwa Kupata Hati Safi

Ulega Ataka Ushirikiano Miradi Ya Kimkakati Ikamilike Kwa Wakati

Wahifadhi Saohill Wapongezwa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Zena Ahmed Said Aitaka NSSF Kuimarisha Uhamasishaji wa Uwekezaji kwa Umma
Next Article BoT Yawaalika Wachimbaji Kuwekeza Serikalini, Yatoa Elimu ya Fedha
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

ARTICLE 19,  JOWUTA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA HAKI ZA WANAHABARI
Habari October 18, 2025
Profesa Ndunguru Aongoza Kikao Cha Mawaziri Wa DLCO- EA Akimwakilisha Bashe
Habari October 17, 2025
Mgombea NCCR-Mageuzi Awaasa Watanzania Wasikubali Propaganda
Habari October 17, 2025
Profesa Nombo: Ushirikiano wa VETA, Sekta Binafsi Waimarisha Mafunzo ya Ufundi Stadi
Habari October 17, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?