MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mpango Awaalika SADC Kutuma Timu ya Uangalizi wa Uchaguzi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mpango Awaalika SADC Kutuma Timu ya Uangalizi wa Uchaguzi
Habari

Mpango Awaalika SADC Kutuma Timu ya Uangalizi wa Uchaguzi

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Philip Mpango, amesema maandalizi ya uchaguzi mkuu wa haki, huru na wazi yanaendelea vizuri nchini Tanzania
Hivyo ametoa  mwaliko kwa SADC kutuma timu ya waangalizi kwa uchaguzi huo utakaofanyika Oktoba ,  mwaka huu2025.
Habari Picha 8986
Akihutubia Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama jijini Antananarivo, Madagascar, leo Agosti 16, 2025, Dkt. Mpango amesema kuwa anaiwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo.
Ameeleza katika kipindi cha uenyekiti wa Tanzania kwenye Asasi hiyo, mafanikio mbalimbali yamepatikana, yakiwemo kudumishwa kwa utulivu katika ukanda wa SADC, isipokuwa eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambako juhudi za kutafuta suluhu zinaendelea.
Amesema jitihada hizo zinajumuisha majadiliano kupitia Mpango wa Luanda na Nairobi, pamoja na hatua zilizopitishwa na mikutano ya pamoja ya EAC na SADC.
Kupitia mikutano hiyo, jopo la Wazee wa Hekima limeundwa, timu za wataalamu kutoka EAC, SADC na AU zimeunganishwa, na utaratibu wa kushughulikia mgogoro huo umetayarishwa.
Amesisitiza kuwa suluhu za migogoro barani Afrika zinapaswa kuongozwa na Waafrika wenyewe, kwa dhamira na kujitoa kwa dhati.
Habari Picha 8987
Almeongeza kuwa Tanzania, katika kipindi cha uongozi wake, imeongoza programu mbalimbali za kuzuia na kusuluhisha migogoro, kupeleka vikosi vya kulinda amani kwenye maeneo yenye migogoro,
Pamoja na kuimarisha taasisi za kidemokrasia. Vilevile imeongoza timu za waangalizi wa uchaguzi katika nchi za Botswana, Namibia, Mauritius na Msumbiji.
Amehitimisha kwa kusema kuwa Tanzania imejitahidi kuhakikisha ukanda wa SADC unasalia kuwa salama na tulivu, na kuahidi kuendeleza ushirikiano na mwenyekiti mpya wa Asasi hiyo, Malawi.

You Might Also Like

UDSM  Kujenga Jengo La Kisasa La Bil 8.3

Rais Samia azindua bwawa la umwagiliaji Mtibwa

Wananchi Washauriwa Kujiunga Na Chuo Cha Ualimu Na Ufundi Stadi Morogoro

Miradi ya Maendeleo Isimamiwe kwa Uadilifu

Fanyeni kazi kwa bidii kulinda taswira ya TARURA

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mwambungulu Asisitiza Ushirikiano Na Serikali
Next Article Wafanyabiashara: Tupo Tayari Kushirikiana na Serikali
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Majaliwa Apongeza Jeshi La Magereza Kurasimisha Ujuzi Kwa Wafungwa
Habari August 27, 2025
Mapokezi Ya Katibu Mkuu CCM  Dkt Migiro CCM, Aahidi Ushirikiano
Habari August 27, 2025
Majaliwa Aagiza Kuimarishwa kwa Mafunzo ya Ufundi Stadi Nchini
Habari August 27, 2025
VETA Yaanzisha Kozi Mpya ya Teknolojia ya Mifumo ya Viwandani
Habari August 26, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?