MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: MSD, SALAMA Zaunganisha Nguvu Kuboresha Sekta ya Afya SADC
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > MSD, SALAMA Zaunganisha Nguvu Kuboresha Sekta ya Afya SADC
Habari

MSD, SALAMA Zaunganisha Nguvu Kuboresha Sekta ya Afya SADC

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
ANTANANARIVO, MADAGASCAR: BOHARI Kuu ya Dawa ya Tanzania (MSD) imefanya ziara rasmi katika Bohari Kuu ya Dawa ya Madagascar (SALAMA) kwa lengo la kuimarisha ushirikiano katika sekta ya afya, hususan katika maeneo ya usambazaji na ununuzi wa pamoja wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Taarifa imesema zara hiyo imeongozwa na Meneja wa Masoko ya Kikanda wa MSD, Nabila Hemed, aliyeambatana na maofisa mbalimbali wa taasisi hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, wakiwa katika mji mkuu wa Madagascar, Antananarivo, wajumbe wa MSD walikutana na uongozi wa SALAMA ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Claude Ramanantoanina.
Taarifa imesema Viongozi hao walijadiliana kuhusu njia bora za kushirikiana katika utekelezaji wa mpango wa ununuzi wa pamoja wa bidhaa za afya kwa nchi za SADC – mpango ambao Tanzania kupitia MSD imekabidhiwa jukumu la kuratibu.
Nabila amewasilisha mada kuhusu uwezo na mafanikio ya MSD katika kuhifadhi, kusambaza na kusimamia ununuzi wa dawa na vifaa tiba, akisisitiza umuhimu wa nchi wanachama wa SADC, ikiwemo Madagascar, kutumia kikamilifu mpango huo wa pamoja kwa manufaa ya wananchi wake.
Mpango huo unalenga kupunguza gharama za bidhaa za afya, kuongeza upatikanaji wa dawa bora na kuimarisha uzalishaji wa ndani wa bidhaa za afya katika ukanda wa SADC, hivyo kuongeza uwezo wa kujitegemea kwa nchi wanachama.
Wawakilishi wa MSD na SALAMA walikubaliana kuendelea kubadilishana taarifa, uzoefu na mbinu bora za kiutendaji katika maeneo ya uzalishaji, uhifadhi na usambazaji wa dawa na vifaa tiba.
MSD pia iliualika rasmi uongozi wa SALAMA kutembelea Tanzania kwa ziara ya kujifunza na kuendeleza mazungumzo ya kimkakati.
 
Mazungumzo hayo yamefanyika Agosti nane, 2025, kando ya Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi wa SADC unaoendelea jijini Antananarivo.
Waliohudhuria ni Nabila kutoka MSD,  Mwenyekiti wa Bodi wa SALAMA Claude,  Balozi Mindi Kasiga kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania pamoja na Ofisa Sheria Mkuu wa MSD, Ukundi

You Might Also Like

Tanzania Yaibuka Kidedea Maonesho Zambia

Tume Ya Kurekebisha Sheria Tanzania Kuipitia Sheria Ya Takwimu

Majaliwa Kufungua Maonesho Ya Madini Geita Leo

Wanafunzi UDOM Wavumbua Mafuta ya Asili Kutoka Mabaki ya Zabibu

Maabara Ya Mkemia Mkuu Yashauri Wajasiriamali Wa Kemikali

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kifo cha Ndugai Kisigeuzwe Siasa – Familia
Next Article Tanzania Yaibuka Kidedea Maonesho Zambia
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?