MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Kifo cha Ndugai Kisigeuzwe Siasa – Familia
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Kifo cha Ndugai Kisigeuzwe Siasa – Familia
Habari

Kifo cha Ndugai Kisigeuzwe Siasa – Familia

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA: FAMILIA ya aliyekuwa Spika wa Bunge marehemu Job Ndugai, imepinga uvumi unaoenea mitandaoni kuhusu kifo cha ndugu yao.
Mdogo wa marehemu, Machite Mgulambwa, akizungumza na mwandishi wa habari hii amesema kuwa, familia  inakanusha vikali madai kuwa kifo hicho kilihusishwa na vikundi au mtu yeyote, akisema ni mapenzi ya Mungu.
Amesema kuwa baadhi ya watu wanadai kifo cha Ndugai si cha kawaida, jambo ambalo familia inaliona kama uchochezi usio na msingi unaolenga kuleta migogoro isiyo ya lazima.
“Ndugai alikuwa akisumbuliwa na mafua sugu kwa muda mrefu, hasa alipopata mavumbi au viyoyozi,” amesema Machite, akibainisha kuwa hali hiyo ilisababisha shida kubwa kiafya kwa marehemu.
Kuhusu mahali pa maziko, Machite amefafanua kuwa awali Ndugai alipendelea kuzikwa kijijini kwa mama yake, Ibwaga, lakini baadaye aliamua kuzikwa katika shamba lake binafsi la Mandumba ili kuondoa mivutano ya kifamilia, kwani hakutaka kuonekana kama anamtenga baba yake.
Amesema kwenye shamba la marehemu alikuwa akilitumia kwa kilimo, ufugaji na pia alijenga kiwanda cha kubangua korosho.
Familia hiyo imewaomba Watanzania kupuuza taarifa zisizo sahihi na kuwaacha waombolezaji waendelee kuomboleza kwa amani.

You Might Also Like

Kiswahili Kimeanza Kubanangwa- Kabudi

Stamico Yahimiza Ubunifu, Uaminifu Na Kujituma

TPHPA Tuna Mchango Mkubwa Katika Utoshelevu Wa Chakula – Ndunguru

UDSM Yaipaisha Lugha Ya Kichina kwa Kuanzisha Digrii Ya Awali Ya Kichina, Kiingereza

TARI Yawafikia Wakulima Kilosa, Kilimo Shadidi Cha Mpunga

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Sheikh wa Mkoa, ‘Wanaotoa Rushwa Msiwachague’
Next Article MSD, SALAMA Zaunganisha Nguvu Kuboresha Sekta ya Afya SADC
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

ARTICLE 19,  JOWUTA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA HAKI ZA WANAHABARI
Habari October 18, 2025
Profesa Ndunguru Aongoza Kikao Cha Mawaziri Wa DLCO- EA Akimwakilisha Bashe
Habari October 17, 2025
Mgombea NCCR-Mageuzi Awaasa Watanzania Wasikubali Propaganda
Habari October 17, 2025
Profesa Nombo: Ushirikiano wa VETA, Sekta Binafsi Waimarisha Mafunzo ya Ufundi Stadi
Habari October 17, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?