MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Sheikh wa Mkoa, ‘Wanaotoa Rushwa Msiwachague’
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Sheikh wa Mkoa, ‘Wanaotoa Rushwa Msiwachague’
Habari

Sheikh wa Mkoa, ‘Wanaotoa Rushwa Msiwachague’

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA: SHEIKH wa Mkoa wa Dodoma, Alhaji Mustapha Rajabu, amekemea vikali vitendo vya rushwa vinavyofanywa na baadhi ya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kuelekea uchaguzi mkuu.
Rajab amewataka wananchi kutokubali kupokea rushwa na wasiwachague wagombea wanaojihusisha na vitendo hivyo.
Akizungumza muda mfupi baada ya Swala ya Ijumaa, Sheikh Rajab amesema  tayari kumekuwepo na viashiria vya wagombea kutoa rushwa wakati wa mchakato wa kura za maoni, jambo ambalo linahatarisha maadili ya uongozi na ustawi wa taifa.
“Rushwa ni adui wa haki. Kiongozi anayetoa au kupokea rushwa ni mtu mdhulumu, asiyestahili kuaminiwa na wananchi,” amesema.
Kutokana na ongezeko la vitendo vya rushwa, Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Dodoma, kwa kushirikiana na Ubalozi wa Saudi Arabia kupitia Idara ya Dini ya Kiislamu, wameanzisha semina na makongamano maalumu ya kutoa elimu kuhusu madhara ya rushwa na umuhimu wa kuikataa.
Sheikh Mustapha aliwataka viongozi wa dini, wazazi, na walezi kushirikiana katika kuwaelimisha wananchi ili waweze kufanya maamuzi sahihi bila kushawishiwa kwa rushwa.

You Might Also Like

Mramba Afungua Mafunzo Ya Teknolojia Ya Nishati Jua Kwa Watalaam

Ridhiwan Kikwete atembelea kituo cha kulelea watoto

Wafanyabiashara 45 Wa Tanzania Wameanza Kutumia Soko La Eneo Huru La Afrika

NSSF Kutoa Mafao Siku Moja Baada ya Kustaafu

Maboresho sheria, kanuni za madini yameongeza mapato

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Dodoma Yang’ara Katika Mfumo wa Stakabadhi Ghalani
Next Article Kifo cha Ndugai Kisigeuzwe Siasa – Familia
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mita  Janja Zazinduliwa,  Tanesco  Yatakiwa Kuzisambaza Nchi Nzima
Habari December 5, 2025
DIT Andaeni Taarifa  Itakayowezesha Wanafunzi Kupelekwa Nje Kujifunza-Mkenda
Habari December 5, 2025
Msama Aipongeza Hotuba Ya Samia, Atoa Neno Kwa Vijana, Wazee, Wanaharakati
Habari December 4, 2025
Profesa Silayo Aaga, Jawara Kuchukua Uongozi Mpya wa AFWC25
Habari December 3, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?