MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: UDSM Yaanzisha Mkakati Kuokoa Nyuki Wadogo
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > UDSM Yaanzisha Mkakati Kuokoa Nyuki Wadogo
Habari

UDSM Yaanzisha Mkakati Kuokoa Nyuki Wadogo

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
DODOMA:  CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimetafiti suluhisho la kielimu na utafiti kuhakikisha nyuki wadogo hawapotei kwa kuwa moja ya kazi wanayoifanya ni uchavushaji wa mimea mbalimbali.
Mwanasayansi wa nyuki kutoka UDSM, Gabriel Mwambogela amesema hayo alipozungumza na Mwandishi wa Habari kuhusu suluhisho hilo.
Amesema njia mojawapo ya kuhakikisha nyuki hao wadogo wanaendelea kuwepo ni kubaini maeneo wanapopatikana na kutoa elimu sahihi kwa jamii kuhusu umuhimu wao.
Amesema nyuki wadogo hawa wana uwezo wa kuchavusha maua yenye saizi tofauti tofauti, jambo linalosaidia  katika kuongeza wingi na utofauti wa mazao.
“Aidha, asali inayotokana na nyuki hawa ina virutubisho vingi na hutumika kama tiba katika maeneo mbalimbali.
“Katika baadhi ya maeneo nchini, jamii imekuwa ikiwachukulia nyuki hawa kama wa laana kwa imani kuwa asali yao husababisha kuharisha au kutoa mimba,” amesema.
Ameongeza kuwa,  baada ya kupewa elimu, mitazamo hiyo imebadilika na jamii sasa imeanza kuwaacha nyuki hao waendelee kuchangia kwenye mfumo wa ikolojia.
Amesena Ulimwenguni kuna aina 605 za nyuki wadogo, huku Afrika Bara ikiwa na aina 33. Tanzania ina jumla ya aina 12, ambazo zote zina mchango mkubwa katika uchavushaji wa mimea.
Ripoti ya utafiti huo imeonyesha kuwa maeneo ya ukanda wa mashariki mwa Tanzania yana idadi kubwa ya nyuki wadogo.
Amesema kupitia elimu na uhamasishaji, watafiti wa UDSM wanasisitiza umuhimu wa kuwalinda wadudu hao kwa mustakabali wa usalama wa chakula na mazingira.

You Might Also Like

Mgombea Udiwani Manyoni Adhalilishwa, Rushwa Yadaiwa Kuvuruga Kura Za Maoni

Wambali: Vyama Vya Wafanyakazi Muhimili wa Uchumi, Ustawi Wa Jamii

REA Yatoa Milioni 38.2 kwa ajili ya kufungwa mfumo wa nishati safi, Shule ya Samia

Mfumo Wa Kuwabana Wachafuzi Wa Choo umetengenezwa

Malecela Aibuka Kidume Dodoma Mjini, Mavunde Ang’aa Mtumba

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article UDSM Imekuja Na App Inayounganisha Wakulima na Watoa Huduma za Kilimo kwa Haraka
Next Article VETA Yatahadharisha Changamoto ya Kuzidisha Uchanganyaji wa Chakula Cha Mifugo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Viongozi Watakiwa Kuweka Haki Mbele Katika Kusimamia Masuala ya Wafanyakazi — COWTU (T)
Habari November 25, 2025
Huduma za Maktaba Zabadilika: Malipo Kidijitali, Usomaji Mtandaoni
Habari November 25, 2025
Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?