MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Malecela Aibuka Kidume Dodoma Mjini, Mavunde Ang’aa Mtumba
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Malecela Aibuka Kidume Dodoma Mjini, Mavunde Ang’aa Mtumba
Habari

Malecela Aibuka Kidume Dodoma Mjini, Mavunde Ang’aa Mtumba

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA: SAMWEL Malecela ameshinda kura za maoni za Ubunge kupitia CCM katika Jimbo la Dodoma Mjini, huku Anthony Mavunde akiibuka kidedea Jimbo la Mtumba, kwa mujibu wa matokeo yaliyotangazwa na msimamizi wa uchaguzi Irimina  Mushonge.
Katika Dodoma Mjini, Malecela alipata kura 2,804 sawa na asilimia 43 kati ya wagombea nane. Wapinzani wake waliokuwa karibu ni Samwel Kisaro (23%) na Paschal Kinyele (10%). Jumla ya kura halali zilikuwa 6,226 kati ya 6,288 zilizopigwa.
Kwa upande wa Mtumba, Mavunde alipata ushindi mkubwa kwa kura 2,082 sawa na asilimia 80.9 kati ya wagombea wanne, akifuatiwa na Mussa Luhamo aliyepata asilimia 12. Kura halali zilikuwa 7,352 kati ya 7,446 zilizopigwa.
Hata hivyo, baadhi ya wagombea wa Dodoma Mjini hawakusaini makubaliano ya matokeo wakidai kuwepo kwa malalamiko, ambayo msimamizi amesema yatashughulikiwa kwa njia ya maandishi rasmi.

You Might Also Like

Kamati Ya Bunge Ustawi Na Maendeleo Ya Jamii Yaridhishwa Wananchi Wanavyofikiwa

BUWSSA Yapewa Bilioni 28 Kutatua Tatizo La Maji

Wafugaji huchakachua maziwa kwa kuongeza mafuta, maji, magadi au mkojo wa ng’ombe

Tanzania kujiimarisha zaidi kidiplomasia – Majaliwa

TPHPA yafundisha namna sahihi ya utumiaji wa viuatilifu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Tanzania Yazindua Mkakati wa Taifa wa Usimamizi Na Uendelevu wa Mikoko
Next Article UDSM Imekuja Na App Inayounganisha Wakulima na Watoa Huduma za Kilimo kwa Haraka
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Fema Mining & Drilling Mfano wa Kuigwa – Musukuma
Habari September 23, 2025
Mgodi Wa Dhahabu Wa Nyanzaga Kunufaisha Wananchi, Ujenzi Wazidi Kupaa
Habari September 23, 2025
Sekta Ya Madini Yazidi Kuchangia Ukuaji Wa Uchumi – Majaliwa
Habari September 23, 2025
Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?