MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: MAIPAC Yagawa Makoti Ya Usalama Kwa Wanahabari Kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > MAIPAC Yagawa Makoti Ya Usalama Kwa Wanahabari Kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Habari

MAIPAC Yagawa Makoti Ya Usalama Kwa Wanahabari Kuelekea Uchaguzi Mkuu.

Author
By Author
Share
2 Min Read
Mwandishi Wetu
ARUSHA: TAASISI ya Waandishi wa habari ya kusaidia jamii za asili (MAIPAC),imeanza kutoa makoti ya usalama kwa ajili ya kutambuliwa wanahabari wakiwa kazini.
Makoti hayo yanatolewa kwa waandishi ambao ni wanachama wa MAIPAC ili kuwasaidia kufanyakazi katika mazingira salama kuelekea uchaguzi mkuu.
Mkurugenzi Mtendaji wa MAIPAC,Mussa Juma akizungumza wakati wa kugawa makoti hayo kwa waandishi wanachama waliopo Serengeti katika Taasisi dada ya MAIPAC ya __Serengeti Media_ amesema lengo la kutolewa makoti hayo ni kuwezesha wanahabari kufanyakazi katika mazingira salama.
Juma amesema, makoti hayo yametengenezwa na Mtandao wa watetezi wa haki za Binaadamu Tanzania(THRDC) na kutolewa kwa   Taasisi ya MAIPAC   ambayo ni mwanachama wa THRDC.
“THRDC kwa kushirikiana na MAIPAC tunapenda waandishi wa habari wakati wote kufanyakazi katika mazingira salama na makoti hayo wakivaa watawatambulisha hasa pale zinapotokea vurugu”amesema
Amesema MAIPAC pia kwa kushirikiana na THRDC itaendelea kutoa mafunzo ya ulinzi na usalama  kwa wanahabari na sheria na kanuni za Uchaguzi,  kuelekea chaguzi mkuu.
Mmoja wa waandishi wa taasisi ya _Serengeti Media_ iliyopo Serengeti mkoa wa Mara Agness Boma akizungumza baada ya kukabidhiwa makoti alishukuru MAIPAC na THRDC kutambua umuhimu wa usalama kwa wanahabari.
Boma amesema watatumia makoti hayo kufanyakazi kwa weledi bila kupendelea chama chochote katika uchaguzi mkuu ujao.
 Wakati huo huo, Juma amewataka waandishi wanachama wa MAIPAC kujisajili katika bodi ya Ithibati ili kutambuliwa kisheria na kufanyakazi kisheria za uandishi wa habari.

You Might Also Like

DIT Mwanza   Kutoa Kozi Ya Kuchakata Ngozi

TASAC yajipanga kuhudumia wafanyabiashara

Wajumbe TSC watakiwa kutembelea ofisi ngazi ya wilaya

Fikeni kwa wakati CMA, mtatuliwe migogoro ya kikazi – Massawe

Chalamila Asema Serikali Inafanyia Kazi Changamoto, Mradi Wa Mabasi Yaendayo Haraka

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Watafiti Watumia Mbinu Mpya Kudhibiti Mdudu Kantangaze Kwenye Nyanya Bila Viuatilifu
Next Article TPDC  Yaibuka Mshindi Sabasaba Yapata Tuzo Ya Tano
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

  Tanesco Yagawa Zawadi Ya Majiko Sabasaba Kuhimiza Matumizi Nishati Safi
Habari July 8, 2025
Bahari  Ina Fursa Nyingi Zisizofahamika-Tasac
Habari July 8, 2025
VETA Yafanya Mageuzi Makubwa Yaliyowezesha Wengi Kuajiriwa
Habari July 8, 2025
TPDC  Yaibuka Mshindi Sabasaba Yapata Tuzo Ya Tano
Habari July 8, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?