MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Singida Yapokea Zaidi Ya Milioni  Moja 
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Singida Yapokea Zaidi Ya Milioni  Moja 
Habari

Singida Yapokea Zaidi Ya Milioni  Moja 

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Danson Kaijage.
MKUU wa  Mkoa Singida, Halima Dendegu  amesema katika kipindi cha miaka minne mkoa wa Singida umepokea kiasi cha Sh. Trilion 1.72 kutoka serikali kuu,Mapato ya ndani na wadau wa maendeleo kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali katika mkoa huo.
“Pato la Mkoa limeongezeka kutoka Sh. 2.709 Trilioni mwaka 2020/21 hadi Sh. Trilioni 3.398 mwaka 2024/25,wastani wa pato la mwananchi mmoja mmoja umeongezeka kutoka Tshs. 1,588,604.66 (2020/21) hadi Tshs. 1,710,562.00 mwaka 2024/25.
“Mkoa wa Singida kwa ujumla katika kipindi hiki umepokea  jumla ya Trioni . 1.72 toka Serikali kuu, Mapato ya ndani na wadau wa maendeleo kwa ajili ya kugharamia shughuli za uendeshaji na utekelezaji wa miradi mbalimbali ,Fedha zilizotoka Serikali kuu zikiwa  Trioni 1.055,”amesema.
Aidha amesema katika kipindi hicho makusanyo ya ‘TRA’ yameongezeka kutoka shilingi Bilioni 11.9 mwaka 2021/22 hadi shilingi Bilioni  30 mwaka 2024/25 sawa na ongezeko la 152%  huku makusanyo ya mapato ya ndani  yakiongezeka kutoka shilingi Bilioni 14.6 mwaka  2020/21 hadi shilingi Bilioni  24.8 mwaka 2024/25 sawa na  ongezeko la 69.8%.
Katika hatua nyingine Mkuu huyo amesema vituo vya kutolea huduma za Afya kuanzia ngazi ya Zahanati hadi Hospitali vimeongezeka kutoka vituo 203 mwaka 2020/21 haid vituo 302 mwaka 2024/25  huku Shule mpya za msingi 142,shule mpya za sekondari  40 ,shule mpya 7 za amali na vyuo  vinne vya VETA vinajengwa katika kipindi cha miaka minne.
“Takribani Bilion 48 zimetumika kutoa elimu bila malipo utoaji wa vyakula mashuleni umefikia 95% Kupungua kwa utoro uimarishaji wa vyuo (Chuo cha utumishi wa umma na uhasibu) na sekta ya afya tumeongeza Zahanati kutoka 173  hadi 246,Vituo vya Afya vimeongezeka kutoka 25 hadi  42 na ujenzi wa Hospitali za Wilaya mpya 5 na ukarabati mkubwa 3,”amesema

You Might Also Like

Wadau wa uchukuzi zingatieni maslahi ya wafanyakazi

Watumishi wa Umma Watakiwa Kuwa na Nidhamu, Ubunifu

Kanisa La GCC Kufanya Maombi Kuelekea Uchaguzi Mkuu

Tanzania Na Namibia Kuongeza Juhudi Kukuza Ushirikiano Wa Kiuchumi

TEA Kukarabati Jengo La Bodi Ya Maktaba Kwa Milioni 300

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article THBUB Mdau Mkubwa Utekelezaji Wa Majukumu 
Next Article Wananchi Washauriwa Kujiunga Na Chuo Cha Ualimu Na Ufundi Stadi Morogoro
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

TSB Yatangaza Fursa Za Kilimo, Uwekezaji Wa Mkonge
Habari July 6, 2025
Elimu Ya Dawa Za Kulevya Kutolewa Kwa Wanafunzi
Habari July 6, 2025
Posta Yaleta   Usafiri Wa Kitalii Ndani Ya Sabasaba
Habari July 6, 2025
Mradi wa Maadili Katika Utafiti Wa Binadamu Na Huduma Za Afya Wafanywa UDSM kwa Ushirikiano wa Kimataifa
Habari July 6, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?