MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mchumi Ajitosa Kuwania Ubunge Manyoni
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mchumi Ajitosa Kuwania Ubunge Manyoni
Habari

Mchumi Ajitosa Kuwania Ubunge Manyoni

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Danson Kaijage
MTAALAM wa Uchumi, Masumbuko Mwaluko amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kumteua kugombea ubunge katika Jimbo la Manyoni ambalo awali lilikuwa likifahamika kama Manyoni Mashariki.
Akizungumza na waandishi wa habari leo mara baada ya kukabidhiwa fomu hiyo, amesema nia yake ni kuomba kuteuliwa na chama kuwa mgombea ubunge katika jimbo hilo ili kuisadia serikali kutatua changamoto mbalimbali za waanchi.
Amesema changamoto hizo ni pamoja na upatikanaji wa huduuma mbalimbali za kijamii ikiwamo maji, afya, elimu pamoja na miundombinu ili kuchochea maendeleo katika eneo hilo.
“Lakini pia nimshukuru Mwenyekiti wetu wa Chama ambaye pia ni Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan na msaidizi wake namba moja Katibu Mkuu CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa kuweka kanuni na utaratibu mzuri wa uchukuaji fomu na urejeshaji,”amesema Mwaluko.
Naye Katibu wa CCM wilaya ya Manyoni, Maimuna Likunguni amesema hadi sasa katika majimbo mawili ya wilaya hiyo ikiwamo jimbo la Itigi jumla ya watiania 25 wamejitokeza kuchukua fomu kuomba ridhaa ya chama.
“Katika jimbo la Manyoni jumla ya watia nia tisa wamejitokeza kuchukua fomu na kati yao wawili ni wanawake lakini katika jimbo la Itigi wamejitokeza 16 na wawili kati yao ni wanawake.
“Uchukuaji fomu unaendelea vizuri na hakuna changamoto yoyote hadi sasa, nitumie fursa hii kuwaita wanachama wote wenye sifa kujitokeza kuitumia fursa hii iliyotolewa na chama chao ili kugombea,”amesema Likunguni

You Might Also Like

Mwanjala Wa TRC Aelezea Umuhimu Wa VETA

Mikataba ya zaidi ya bilioni 50 kuhamasisha nishati salama

Baraza La Wafanyakazi Ni Kama Bunge – Magoiga

Mkenda: Tunahitaji Ushirikiano Baina Ya Viwanda Na Wazalishaji

Majaliwa Aomba Watanzania Wapatiwe Mafunzo Belarus Kuendeleza Kilimo

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Msomi Wa Afya, Fatuma Atia Nia Jimbo la Dodoma Mjini
Next Article Sanaa, Utamaduni Yaimarisha Urafiki Wa China, Afrika
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Majaliwa Apongeza Jeshi La Magereza Kurasimisha Ujuzi Kwa Wafungwa
Habari August 27, 2025
Mapokezi Ya Katibu Mkuu CCM  Dkt Migiro CCM, Aahidi Ushirikiano
Habari August 27, 2025
Majaliwa Aagiza Kuimarishwa kwa Mafunzo ya Ufundi Stadi Nchini
Habari August 27, 2025
VETA Yaanzisha Kozi Mpya ya Teknolojia ya Mifumo ya Viwandani
Habari August 26, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?