MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: UDSM Chasaini Mikataba Na Kampuni Za Kichina, Kujengea Uzoefu Wanafunzi Wake
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > UDSM Chasaini Mikataba Na Kampuni Za Kichina, Kujengea Uzoefu Wanafunzi Wake
Habari

UDSM Chasaini Mikataba Na Kampuni Za Kichina, Kujengea Uzoefu Wanafunzi Wake

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM: CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kimesaini mikataba na kampuni tatu za kichina ikiwemo KZJ Newa Materials Group Co. Ltd, Ju Ye Concrete Co. Ltd na CRJE (East Afrika) Ltd, lengo likiwa ni kuongezea maarifa ya vitendo wanafunzi wanaosoma chuoni hapo.

Makamu Mkuu wa UDSM, Profesa William Anangisye amesema hayo wakati wa utiaji saini na kampuni hizo chuoni hapo.

Amesema chuo hicho kimekuwa na utaratibu wa kushirikiana na kampuni ambazo zinaajiri wahitimu waliozalishwa na chuo hicho kwa lengo la kuwaongezea uzoefu katika kazi na maarifa zaidi.

“Leo tumesaini mikataba na kampuni za kichina kwa ajili ya kutoa nafasi za kufanya kazi kwa vitendo pamoja na kuwafadhili wanafunzi wanaosoma shahada za awali na uzamili chuoni hapa,”amesema.

Kuhusu teknolojia mpya ya uchanganyaji wa zege kwa moja ya kampuni waliosaini nao mkataba, Profesa Anangisye amesema wao kama chuo wanawaandaa wahandisi, hivyo teknolojia hiyo itawaongezea ujuzi na kwamba UDSM kinaweza kuwa ni chuo cha kwanza kupeleka teknolojia hiyo katika nchi nyingine za Afrika.

“Jukwaa hili linaonyesha dhamira yetu isiyoyumba katika malengo ya Dira ya 2061 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ina malengo hayo kusisitiza ubora wa utafiti, ushirikiano wa viwanda, na athari ya maana ya kijamii.

“Hatuoni ushirikiano huu kama tu ushirikiano rasmi, lakini kama uwezeshaji wa kimkakati utafiti, maendeleo ya ujuzi na teknolojia ambao ni muhimu kwa maendeleo ya viwanda,” amesema.

Naye Mwenyekiti wa Kampuni ya Zege ya Ju Ye, Xu Hongjuani amesema uzinduzi huo ni wa kikao cha kwanza cha ushirikiano wa uchanganyaji wa zege.

Amesema kampuni hiyo imekuwa na washirika muhimu katika ujenzi wa miradi mbalimbali ikiwemo daraja la Magufuli,  daraja la Tanzanite, Uwanja wa Ndege Dodoma na miundombinu mingine mbalimbali.

You Might Also Like

Kagera, Geita kuanza uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura

Mpogolo Aipongeza Halmashauri Maandalizi Mikopo Asilimia 10

Wana Dodoma Wakoshwa Na Uboreshaji Mitaala

Tume ya Kurekebisha Sheria Yatoa Onyo Kali kwa Wanaovunja Sheria za Umwagiliaji

Kima Cha Chini Cha Mshahara Chapanda Kwa Asilimia 35.1-Rais Samia

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kamishna TFS Aongoza Kikao Cha Viongozi Wa Kamisheni ya Misitu Afrika
Next Article Serikali Yazidi Kuhamasisha Nishati Safi, Yatoa Mitungi 225 Kwa Watumishi Gereza kuu Maweni
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Majaliwa Apongeza Jeshi La Magereza Kurasimisha Ujuzi Kwa Wafungwa
Habari August 27, 2025
Mapokezi Ya Katibu Mkuu CCM  Dkt Migiro CCM, Aahidi Ushirikiano
Habari August 27, 2025
Majaliwa Aagiza Kuimarishwa kwa Mafunzo ya Ufundi Stadi Nchini
Habari August 27, 2025
VETA Yaanzisha Kozi Mpya ya Teknolojia ya Mifumo ya Viwandani
Habari August 26, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?