MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mfumo Wa KieletronikiWa Albino Kurahisisha Kuwatambua – Ridhiwani
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mfumo Wa KieletronikiWa Albino Kurahisisha Kuwatambua – Ridhiwani
Habari

Mfumo Wa KieletronikiWa Albino Kurahisisha Kuwatambua – Ridhiwani

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri  Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu. Ridhiwani Kikwete amesema maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uelewa Kuhusu Albino, hufanyika kila mwaka kukumbusha umuhimu wa kushirikisha wenye Ualbino,
Haki zao pamoja na umuhimu wa serikali kuendelea kuangalia maslahi na ulinzi wao.
Maadhimisho hayo yaliongozwa na
Kassim Majaliwa Majaliwa , Waziri Mkuu katika viwanja wa Mwanga Mkoani Kigoma Juni 13, 2025.
Ridhiwani amesema katika maadhimisho hayo ulizinduliwa mtandao maalum wa kusajili watu wenye Ulemavu unaowezesha kusajili kwa njia ya eletroniki hata kwenye maeneo yaliyo nje ya mtandao.
“Mfumo huu unawezesha taarifa za watu wenye ulemavu kuchukuliwa na kuchambuliwa ambapo zitaiwezesha serikali kupata taarifa za kina zitakazowezesha kupanga mipango ya maendeleo ikiwemo kuwashirikisha wenye Ulemavu,” amesema.
Amesema katika maadhimisho hayo, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitoa maagizo maalum kwa wakuu wa Mikoa na wadau waliokuwapo kuhusu matumizi sahihi ya mtandao huo.

You Might Also Like

Biteko Akaribisha Wawekezaji Sekta Ya Nishati

Ridhiwani Kikwete Akagua Maandalizi ya Kilele Mbio za Mwenge Jijini Mwanza

Mbinu Mpya za Kilimo kwa Vijana Zapata Umaarufu Nanenane Banda La VETA

DIT kudhibiti nzi wa maembe kisasa

JOWUTA,IFJ na THRDC kutoa mafunzo ya kuripoti uchaguzi mkuu.

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Miradi Dodoma Yamkuna Rais Samia
Next Article Wanafunzi Waliokwenda China Watakiwa Kuiwakilisha Tanzania Vizuri
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Fema Mining & Drilling Mfano wa Kuigwa – Musukuma
Habari September 23, 2025
Mgodi Wa Dhahabu Wa Nyanzaga Kunufaisha Wananchi, Ujenzi Wazidi Kupaa
Habari September 23, 2025
Sekta Ya Madini Yazidi Kuchangia Ukuaji Wa Uchumi – Majaliwa
Habari September 23, 2025
Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?