MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mpanduji Wa COTWU – T Aelezea Changamoto Zinazowakabili Waendesha Bodaboda, Bajaji
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mpanduji Wa COTWU – T Aelezea Changamoto Zinazowakabili Waendesha Bodaboda, Bajaji
Habari

Mpanduji Wa COTWU – T Aelezea Changamoto Zinazowakabili Waendesha Bodaboda, Bajaji

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM: KATIBU Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Mawasiliano na Uchukuzi Tanzania  (COTWU – T), Juliana Mpanduji amesema kukosekana kwa sehemu za maegesho kwa boda boda na bajaji ni mojawapo ya changamoto inayoikabili sekta hiyo ya usafirishaji.
Mpanduji amesema hayo wakati wa uzinduzi wa taarifa ya utafiti kuhusu waendesha Pikipiki Wanawake Mkoani Dar es Salaam.
Ametaja changamoto nyingine ni kukosa kutambuliwa katika huduma za kijamii kama vile mifuko ya hifadhi ya jamii, huduma za bima ya afya pamoja na kukosekana kwa mikataba bora ya kazi.
Vile vile ukatili wa kijinsia kwa madereva wa kike, kukosa elimu juu ya Mambo mbalimbali yahusuyo haki na maslahi pamoja na kukosekana kwa sera zinazolinda sekta binafsi.
Amesema changamoto nyingine ni mikataba ya ukandamizaji kutoka kwa wawekezaji hasa kwa madereva wa majukwaa,
Ikiwa ni pamoja na ukosefu wa elimu na mazingira wezeshi kwa wanawake na vijana katika sekta ya usafirishaji.
” Kwa utafiti huu tunaamini utatoa mwangaza wa namna ya kutatua changamoto hizo , hasa kwa ushirikishwaji katika uundaji wa sera wezeshi na kufanikisha kampeni za kupinga ukatili wa kijinsia na unyanyasaji katika maeneo ya kazi, hususan katika sekta ya usafirishaji.
” Ni imani yetu kubwa kwamba kampeni hii itaungwa mkono kusaidia uridhiaji wa mkataba Na. 190 wa ILO,” amesema.
Naye Mkurugenzi Mkazi wa Friedrich Ebert Stiftung (FES), Christian Denzin amesema taasisi hiyo imejikita kusimamia demokrasia ya kijamii, haki na mshikamano kwa kushirikiana na COTWU – T ambacho ni sehemu ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA).
Amesema utafiti huo uliofanywa na Michaela Collord na Nice Mwasasu unajumuisha madereva 150 wa boda boda wakiwemo wanawake 47 pamoja na mapitio ya kitaaluma, nyaraka za serikali na rupoti za sekta binafsi.

You Might Also Like

Zifahamu hifadhi za bahari na maeneo tengefu.

Sheria Ya Kupata  Taarifa, Ya NGOs Zina Upungufu 

COSTECH, CRDB Foundation Yazindua Mikopo Nafuu Kwa Wabunifu

Serikali Kuendelea Kutenga Fedha Kwa ajili ya Ukamilishaji wa Maboma ya Vituo vya Afya

TAKUKURU, Manispaa Ubungo Yawafikia Waendesha Bajaji, Bodaboda

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mdemu Azindua Utafiti Uliofanywa na FES Kwa Kushirikiana Na COTWU – T
Next Article Mdemu Awataka Wafanyabiashara Ndogo Ndogo Kuchangamkia Mkopo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?