MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Ridhiwani Afanya Mazungumzo Na Balozi Wa China Nchini, Mingjian
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Ridhiwani Afanya Mazungumzo Na Balozi Wa China Nchini, Mingjian
Habari

Ridhiwani Afanya Mazungumzo Na Balozi Wa China Nchini, Mingjian

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
DODOMA: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu. Ridhiwani Kikwete amefanya mazungumzo na ujumbe wa Ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa China.
Ujumbe huo umeongozwa na Balozi wa China Nchini, Chen Mingjian Ofisini kwake Dodoma.
Ridhiwani amesema katika kikao hicho balozi Mingjian alijitambulisha na kutaka kuendelea kuimarisha mahusiano baina ya nchi ya China na Tanzania.
Amesema amekumbusha  maeneo muhimu ya ushirikiano haswa katika mafunzo ya kujenga ujuzi na ufundi huku msisitizo mkubwa ukiwa kuwaandaa vijana watakaopambana na mabadiliko makubwa ya kidunia hasa katika mapinduzi ya teknolojia.
Kwa upande wake Ridhiwani amewaambia Tanzania itaendelea kuenzi uhusiano uliopo.
“Pia tutaendeleza uhusiano huu kwa kuimarisha maeneo yote ambayo yanatukutanisha katika mashirikiano haya.
“Pia tumewashukuru serikali ya China kwa mabadiliko makubwa ambayo yanaelekea kukuza ujuzi kwa vijana wa Kitanzania na nia yao ya kufanya maonyesho makubwa ya Kazi yanayolenga kufunua fursa za vijana wa kitanzania kujiajiri na kufungua milango ya kuajiriwa na makampuni makubwa ya kigeni yakiwemo ya China nchini hapa,” amesema Ridhiwani.

You Might Also Like

Mrithi wa Kinana Kupatikana Mkutano Mkuu wa CCM

Jeshi la Uhifadhi watakiwa kuzingatia mafunzo – Wakulyamba

Wastaafu Epukeni Matapeli Kwenye Mafao-PSSSF

Ridhiwani Kikwete aziita sekta binafsi kushirikiana na serikali,  apokea vifaa tiba na madawati kutoka NMB

Jisajilini mapema mpate mbolea ya ruzuku

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kafulila: Deni La Taifa Ni Himilivu
Next Article Mtafiti UDSM Atafiti Mimea Ya Asili Kudhiti Fangasi Kwenye Mimea
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

CCM Yasitisha Ratiba ya Uchaguzi wa Maoni
Habari July 19, 2025
Uvuvi Wa Kisasa Wainua Mwanza Kiuchumi
Habari July 19, 2025
Tanzania Yaingia Saba Bora Duniani  Kwa Uzalishaji Wa Pamba Hai
Habari July 19, 2025
Mara Yapaa: Miaka Minne Ya Mafanikio Chini Ya Rais Samia
Habari July 18, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?