MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: UDSM  Kujenga Jengo La Kisasa La Bil 8.3
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > UDSM  Kujenga Jengo La Kisasa La Bil 8.3
Habari

UDSM  Kujenga Jengo La Kisasa La Bil 8.3

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu
CHUO Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) kwa kushirikiana na Watumishi Housing Investment (WHI),wamesaini mkataba wa makubaliano wa ujenzi na uendeshaji wa Kituo Cha   kisasa  Cha Biashara chuoni hapo kitakachogharimu ujumla ya sh bilioni 8.3.

 kitakachotoa huduma mbalimbali kwa wananchi, wanafunzi  na wafanyakazi kwa ujumla.
 
Mradi huo utafanyika ndani ya Chuo katika eneo lenye ukubwa Wa Mita za mraba 12498.5  na ujenzi utakamilika ndani ya miezi 18 kuanzia sasa.
Akizungumza  wakati Wa utiaji Saini mkataba huo kwenye hafla iliyofanyika UDSM, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Profesa William Anangisye amesema baada ya kukamilika    utaendeshwa na WHI kwa miaka 15
Amesema baada ya kipindi hicho Cha uendeshaji ,kituo kitakabidhiwa kwa UDSM ambapo wataamua kuendeshwa wenyewe au kuweka mtu mwingine.
Amesema Kituo hicho kitakuwa na ujenzi Wa majengo ambayo yatajumuisha  ofisi mbalimbali, maduka makubwa, na maeneo ya michezo ya watoto , maneno ya mazoezi ya viungo,kumbi za mikutano,migahawa na maeneo ya Kisasa ya kuoshea magari.

Kwa upande wake Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya  WHI , Sephania Solomon amesema matarajio katika kipindi cha miaka 15  jengo hilo litaingiza zaidi ya sh  bilioni15 ambapo Chuo Kikuu itapata asilimia 40 na Taasisi ya Watumishi House itapata asilimia 60.

Amesema WHI imefanya Utafiti kuhusu Mradi huo na inashirikiana na UDSM chini ya mfuko Wa uendeshaji miliki kwa mujibu taratibu.

You Might Also Like

Waziri Mkuu Majaliwa Amwakilisha Dkt.Mpango Mahafali Ya 43 OUT

Katibu Mkuu CCM Dkt. Nchimbi Akutana na Katibu Mkuu CRC

Elimu Itolewe Kuhusu Ufahamu Wa Kuwepo Kwa Fedha Maalum – Ridhiwani

Ridhiwani Aipongeza Mahakama Kuzingatia Ajira Kwa Wenye Ulemavu

Zaidi Ya Wanachama 800 Wa TUGHE Watembelea Hifadhi Ya Mlima Kilimanjaro

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wanazuoni Kujadili   Dira  Itakayojenga  Uchumi Unaofikia   Dola Trilioni Moja
Next Article Mtanda Akagua Maendeleo Ya Mradi YA Hoteli Ya Nyota Tano Ya NSSF
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

ARTICLE 19,  JOWUTA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA HAKI ZA WANAHABARI
Habari October 18, 2025
Profesa Ndunguru Aongoza Kikao Cha Mawaziri Wa DLCO- EA Akimwakilisha Bashe
Habari October 17, 2025
Mgombea NCCR-Mageuzi Awaasa Watanzania Wasikubali Propaganda
Habari October 17, 2025
Profesa Nombo: Ushirikiano wa VETA, Sekta Binafsi Waimarisha Mafunzo ya Ufundi Stadi
Habari October 17, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?