Nenda moja kwa moja kwenye maudhui
November 7, 2026
Habari Lucy Ngowi 17

Waziri Mkuu Kumwakilisha Dkt Samia Ivory Coast

Na Mwandishi Wetu
WAZIRI MKuu, Kassim Majaliwa amewasili nchini Ivory Coast kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa Siku mbili wa Maofisa Watendaji Wakuu wa Africa unaoanza leo Mei 12, 2025 jijini Abidjan.

Majaliwa amepokelewa katika uwanja wa ndege wa Félix-Houphouët-Boigny Jijini Abidjan na Waziri Mkuu wa Ivory Coast Robert Beugre Mambe.

Je, habari hii ilikusaidia?
Sambaza

Maoni 0

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!

Acha maoni

Barua pepe yako haitachapishwa. Sehemu zenye * ni lazima.