MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Spika Tulia Kufungua Kongamano La Uhuru Wa Wanataaluma Afrika UDSM
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Spika Tulia Kufungua Kongamano La Uhuru Wa Wanataaluma Afrika UDSM
Habari

Spika Tulia Kufungua Kongamano La Uhuru Wa Wanataaluma Afrika UDSM

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM: WANA TAALUMA Vyuo Vikuu  duniani wanaamini ili kupata majawabu ya matatizo yaliyopo kwenye jamii inawapasa kufanya tafakuri za kina pamoja na mijadala.
Mhadhiri Mwandamizi Kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ( UDSM), Sosholojia na Anthropolojia, Dkt. Richard Sambaiga amesema hayo wakati wakitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusu Kongamano Juu ya Uhuru wa Wana Taaluma katika Afrika.
Amesema,” Kama vyuo vikuu barani Afrika na ulimwenguni, kazi yetu kubwa ni kufanya tafiti, kufundisha wanafunzi na kutafuta majawabu ya matatizo.
” Tunaamini peke yetu bila sauti na kuungwa mkono na wadau wengine, hatutaweza ila tukiendelea kukumbushana tunaweza kutoka hapa tulipo na kwenda hatua nyingine,”.
Amesisitiza matatizo yanayoikabili jamii yanahitaji majawabu yatokanayo na tafiti mbalimbali wanazozifanya.
Naye Mhadhiri Mwandamizi UDSM kutoka Ndaki ya Sayansi ya Jamii, Dkt. Ng’wanza Kamata amesema kongamano hilo litaanza Aprili 29 hadi Mei 2, 2025 limeandaliwa na Ndaki ya Sayansi za Jamii UDSM kwa ushirikiano na Kanseli ya Maendeleo ya Utafiti katika Sayansi za Jamii  (CODESRIA).
Amesema mkutano huo utafunguliwa na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson na utahudhuriwa na wana taaluma, wanazuoni na washirika wengine zaidi ya 200 kati ya hao 100 watatoka vyuo vikuu na taasisi mbalimbali za Afrika na nje ya Bara, 100 wengine watatoka Tanzania.
“Baada ya uzinduzi itafuatia mijadala ya kitaaluma ambayo itatanguliwa na uwasilishaji wa mada mbalimbali zipatazo 80 zitakazo wasilishwa katika vikao na majopo,” amesema.
Amesema mada hizo zitazungumzia uhuru wa wana taaluma katika muktadha wa nguvu  kinzani, dola ba wana taaluma, vyuo vya elimu ya juu na uhuru wa wanataaluma, urasilimishaji wa vyu vikuu na nyinginezo.
Kwa upande wake, Meneja wa Program CODESRIA Dkt. Bertha Kibona amesema mpango wao mkubwa ni kusaidia taaluma kwenye sayansi za jamii Afrika.
Amesema kazi yao ni kuhakikisha uhuru wa taaluma unakuwepo ambapo kwao ni jambo la kipaumbele.

You Might Also Like

Zuhura Yunus Atoa Neno Kwa Madereva 

Dhibitini Magonjwa ya Mlipuko-Mchengerwa

Wanufaika wa SDF Waeleza Mafaniko Waliyoyapata

Mpanduji Wa COTWU – T Aelezea Changamoto Zinazowakabili Waendesha Bodaboda, Bajaji

Biashara kidijitali inawezekana soko huru la Afrika

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ntonda Ameipongeza TEA Kwa Utekelezaji Bora Wa Miradi Ya Elimu
Next Article Spika Tulia Aunguruma UDSM, Kongamano La Uhuru Wa Wana Taaluma Afrika.
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
BoT Yarahisisha Uuzaji wa Dhahabu kwa Wachimbaji, Yatoa Punguzo La Mrabaha
Habari September 22, 2025
Waziri Mkuu Apongeza Huduma Kidijitali za NSSF, Maonesho Ya Madini Geita
Habari September 22, 2025
Mkuu Wa Mkoa Shinyanga Asifu Kazi Ya Bodi Bima Ya Amana
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?