MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Waziri Mkuu Majaliwa Kuongoza Harambee Ya Mei Mosi Kitaifa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Waziri Mkuu Majaliwa Kuongoza Harambee Ya Mei Mosi Kitaifa
Habari

Waziri Mkuu Majaliwa Kuongoza Harambee Ya Mei Mosi Kitaifa

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
DODOMA: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa usiku wa leo Aprili 5, 2025 ataongoza harambee ya kuwezesha maadhimisho ya Mei Mosi kitaifa 2025 kwenye ukumbi wa Royal Village jijini Dodoma.
Maadhimisho hayo yatafanyika mkoani Singida na Mgeni Rasmi anarajiwa kuwa Rais Samia  Suluhu Hassan.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Ridhiwani Kikwete, Rais wa Shirikisho la Vyama vyacWafanyakazi (TUCTA), Tumaini Nyamuhokya, Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Martha Mlata ni miongoni mwa viongozi waliohudhuria harambee hiyo.

You Might Also Like

Maofisa Habari Watoe Taarifa Sahihi Ziwafikie Wananchi

Sheria Ya Kupata  Taarifa, Ya NGOs Zina Upungufu 

PURA Yajivunia Agenda Ya Matumizi Ya Nishati Safi

Serikali Kuboresha , Kuweka Mazingira Wezeshi Kwa Vijana

Wastaafu Watakiwa Kutafuta Ushauri  Wa Kitaalam Kwa Matumizi Ya Mafao

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Msigwa Awataka Wakuu Wa Mikoa Kuandaa Maeneo Ya Upandaji Miti
Next Article Majaliwa Afanya Harambee Ya Mei Mosi 2025
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
BoT Yarahisisha Uuzaji wa Dhahabu kwa Wachimbaji, Yatoa Punguzo La Mrabaha
Habari September 22, 2025
Waziri Mkuu Apongeza Huduma Kidijitali za NSSF, Maonesho Ya Madini Geita
Habari September 22, 2025
Mkuu Wa Mkoa Shinyanga Asifu Kazi Ya Bodi Bima Ya Amana
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?