MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wajumbe IPA Zanzibar Wafanya Ziara TEA
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wajumbe IPA Zanzibar Wafanya Ziara TEA
Habari

Wajumbe IPA Zanzibar Wafanya Ziara TEA

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
WAJUMBE wa Baraza la Chuo cha Utawala wa Umma (IPA) – Zanzibar leo Machi 13, 2025 wamefanya ziara ya kikazi katika Makao Makuu ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) inayosimamia Mfuko wa Elimu wa Taifa, kwa lengo la kuimarisha ushirikiano wa kikazi kati ya taasisi hizo mbili.
Ujumbe wa IPA umeongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Chuo hicho, Mmanga Mjawiri, akiambatana na wajumbe wengine watano, wakiwemo Mkuu wa Chuo hicho, Dkt. Shaaban Mwinchum Suileman.
Akizungumza katika mkutano huo, Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya TEA, Elirehema Mollel, amesema kuwa TEA iko tayari kushirikiana na IPA katika juhudi za kuimarisha sekta ya elimu nchini.
Vile vile wajumbe wa IPA wameishukuru TEA kwa kufadhili miradi ya kuboresha miundombinu ya elimu chuoni hapo katika miaka ya nyuma, huku wakieleza matumaini yao ya kuendelea kupata ufadhili kupitia Mfuko wa Elimu wa Taifa.
Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa TEA, Dkt. Erasmus Kipesha, amepongeza IPA kwa utunzaji mzuri wa mradi wa TEHAMA uliowezeshwa na TEA, akisisitiza umuhimu wa kuendeleza miradi yenye tija kwa maendeleo ya elimu.
TEA ni taasisi ya Muungano inayotekeleza majukumu yake ya kuimarisha miundombinu ya elimu katika maeneo yote ya Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar.

You Might Also Like

Ndege Ya TPHPA Yatua Rasmi Kudhibiti, Kwelea Kwelea, Viwavijeshi, Nzige 

Rais Samia akagua gwaride maalum

Serikali Yaeleza Mikakati Ya Kuwezesha Vijana Katika Soko La Ajira

Tanzania Kushirikiana na Finland Uboreshaji Mbegu za Miti

Jaji Mwambegele: Habari Sahihi ni Msingi wa Ushiriki Mpana wa Wananchi Kura 2025

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kamati Ya Bunge Yahimiza Maslahi Ya Watumishi Wapya Yazingatiwe
Next Article Vinasaba 524 Vimepimwa Kwa Mkemia Mkuu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mgodi Wa Dhahabu Wa Nyanzaga Kunufaisha Wananchi, Ujenzi Wazidi Kupaa
Habari September 23, 2025
Sekta Ya Madini Yazidi Kuchangia Ukuaji Wa Uchumi – Majaliwa
Habari September 23, 2025
Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
BoT Yarahisisha Uuzaji wa Dhahabu kwa Wachimbaji, Yatoa Punguzo La Mrabaha
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?