MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mdau wa Maendeleo Goryo Ashinda Tuzo Ya Mlipa Kodi Bora
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mdau wa Maendeleo Goryo Ashinda Tuzo Ya Mlipa Kodi Bora
Habari

Mdau wa Maendeleo Goryo Ashinda Tuzo Ya Mlipa Kodi Bora

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Mwandishi Wetu, Busega

SIMIYU:MFANYABIASHARA wa Mji mdogo wa Lamadi ambaye pia ni mdau wa Maendeleo, Joseph Goryo ameshinda tuzo ya kuwa mlipa kodi Bora wa Wilaya ya Busega katika sherehe zilizofanyika Mjini Bariadi.

Katika tukio hilo, utoaji wa Tuzo za Mlipa kodi bora kwa mwaka wa fedha 2023/2024 ambapo walipa kodi kuanzia ngazi ya Chini, kati na Juu wote walitambuliwa na kupewa tuzo kwa kuwa walipa kodi hodari bila kukwepa.

Goryo ni mdau anayesaidia watoto wenye mahitaji maalum ikiwemo pia kusomesha watoto wa kike wale waliotoka katika mazingira magumu.

Tuzo hiyo amekabidhiwa na  Mkuu wa Wilaya ya Busega, Faidha Salim tukio lililowakutanisha wadau mbalimbali wakiwemo Wafanyabiashara na viongozi wa Serikali na sekta binafsi.

Tuzo hizo za mlipa Kodi Bora zinatolewa na Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) zikitolewa nchini kote kila mwaka kwa wafanyabiashara vinara katika ulipaji Kodi nchini.

 

You Might Also Like

Matumizi Mabaya Ya Dawa Husababisha Usugu Wa Vimelea Kwa Wanyama – Dkt. Kitimu

Kiswahili Kimeanza Kubanangwa- Kabudi

MSD, SALAMA Zaunganisha Nguvu Kuboresha Sekta ya Afya SADC

Ikomba: Aliishi Na Watoto Wiki Sita Akiwafundisha Kabla Ya Mtihani WaTaifa

Usekelege: Kati ya Migogoro Tunayoipokea Ipo ya Wafanyakazi Majumbani

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mafanikio Ya Veta Katika Kuadhimisha Miaka 30:
Next Article TIC Yapaa Kiuchumi Afrika
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Viongozi Watakiwa Kuweka Haki Mbele Katika Kusimamia Masuala ya Wafanyakazi — COWTU (T)
Habari November 25, 2025
Huduma za Maktaba Zabadilika: Malipo Kidijitali, Usomaji Mtandaoni
Habari November 25, 2025
Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?