MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Stamico Yapewa Tuzo Na FDH Kujali Wenye Ulemavu
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Stamico Yapewa Tuzo Na FDH Kujali Wenye Ulemavu
Habari

Stamico Yapewa Tuzo Na FDH Kujali Wenye Ulemavu

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Danson Kaijage
DODOMA:TAASISI ya Foundation For Disabilities Hope (FDH) ya Mkoani Dodoma, imetoa tuzo  kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Taifa la Madini (STAMICO)  Dkt. Evance Mwase kwa kutambua mchango wake kwa makundi ya watu wenye ulemavu nchini.
Akikabidhi tuzo hiyo Mkurugenzi wa Taasisi ya FDH, Maiko Salali, amesema  tuzo hiyo waliyotoa ni ishara ya kutambua kazi kubwa iliyofanywa na STAMICO, kupitia Mkurugenzi wake Mtendaji kwa watu wenye ulemavu.
Ameeleza kuwa , Dkt. Evance Mwase, amekuwa mstari  wa mbele kuwezesha kupitia fursa mbalimbali kwa makundi ya watu wenye ulemavu ili kujikwamua kiuchumi na kuondokana na dhana ya kuwa tegemezi.
“Mkurungenzi Mtendaji wa STAMICO, Dkt. Mwase amekuwa mtu wa mfano katika kuwezesha makundi ya watu wenye ulemavu nchini kwa kutoa fursa mbalimbali ikiwemo walemavu kupata uwakala wa kuuza mkaa mbadala unaozalishwa na STAMICO,”amesema.
Kadhalika, amesema  kupitia bidhaa hiyo ya mkaa mbadala watu wenye ulemavu, wamepata fursa ya kujipatia kipato na kujikwamua kiuchumi pia mkaa huo umewasaidia wenye ualibino kulinda afya zao kwa kutumia nishati safi ya kupikia.
Naye, Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO, Dkt. Mwase, amesema kuwa anajisikia fahari kupatiwa tuzo hiyo na kuahidi kuendelea kushirikiana na makundi yote ya watu wenye ulemavu nchini ili kusiwe na mtu ambaye anaachwa nyuma.
“Rai yangu watu wenye ulemavu msirudi nyuma serikali yetu chini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan,imeweka mazingira wezeshi kwa makundi yenu hivyo kila fursa ambayo inajitokeza mjitahidi kuikamata ili kuwa na jamii jumuishi bila kumwacha yeyote kati yetu nyuma,”amesema.

You Might Also Like

Rais Samia Awateua Tido Mhando, Machumu Na Nyalandu

Ushiriki Wa Wanawake, Wasichana Katika Sayansi Ni Mdogo

Singida Yapokea Zaidi Ya Milioni  Moja 

Ridhiwani Afanya Mazungumzo Na Balozi Wa China Nchini, Mingjian

Mafua, Kifua Yadaiwa Kusababisha Kifo cha Job Ndugai

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ujenzi Wa Maabara Tatu Za Sayansi Kuanza, OUT Yasaini Mkataba
Next Article Ridhiwan Kikwete Apongeza Halmashauri Ya Tunduma
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?