MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Tutumie Mitandao Kwa Matumizi Yenye Manufaa – Kilimbe
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Tutumie Mitandao Kwa Matumizi Yenye Manufaa – Kilimbe
Habari

Tutumie Mitandao Kwa Matumizi Yenye Manufaa – Kilimbe

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Danson Kaijage
Dodoma: ILI kuwa na  taifa lenye watu bora kimaadili na kiuchumi,  ni vema kutumia mitandao kwa matumizi yenye manufaa kwa jamii na taifa kwa ujumla.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Jones Kilimbe, amesema hayo
wakati wa Maadhimisho ya siku ya Usalama Mtandaoni 2025 yaliyofanyika Jijini Dodoma.
Maadhimisho hayo yameshirikisha wadau mbalimbali wakiwemo walimu wa shule ya msingi,vyuo vya kati na vyuo vya elimu ya juu.
Amesema kwa sasa kuna urahisi mkubwa matumìzi ya kimtandao pamoja na hasara kubwa iwapo mitandao itatumiwa vibaya.
Kwa upande mwingine amewataka wanafunzi kutoogopa masomo ya sayansi na hesabu kwa kuwa siyo magumu kama inavyoelezeka.
“Ninyi wanafunzi mnaosoma msiogope masomo ya Sayansi na hesabu kwani ni masomo pekee ambayo yanafanana duniani kote hivyo hayabadiliki na unaweza kuyapata mahali popote na kukufanya kuajiriwa mahali popote,” amesema.
Mkurugenzi wa Leseni na Ufuatiliaji kutoka TCRA, John Daffa amesema siku ya usalama mtandaoni huadhimishwa Jumanne ya pili ya Februari kila mwaka  ambayo ni mpango wa kimataifa ulioanzishwa mwaka 2004 kwa lengo la kuhamasisha matumizi sahihi na salama ya mtandao wa intaneti.
“Siku hii inasheherekewa takribani katika nchi 190 duniani,vilevile maadhimisho haya yanaunganisha mabilioni ya watu ulimwenguni kuhamasisha matumizi sahihi na salama mtandaoni, kuongeza uelewa kuhusu masuala ya mtambuka mtandaoni haya miongoni mwa fursa yanayotokana na matumizi hayo,
Kwa upande wake  mwanafunzi wa Chuo cha Biashara (CBE), Janeth Butashobya amesema kuwa utumiaji wa mitandao kwa sasa umestawisha upatikanaji wa nyenzo mbalimbali za kusaidia kujisomea.
Pia amesema kuwa upatikanaji wa mitandao kwa maana ya matumizi ya Intaneti kumerahisisha upatikanaji wa huduma muhimu na kupunguza matumizi matumizi ya muda.

You Might Also Like

Uvuvi Wa Kisasa Wainua Mwanza Kiuchumi

VETA Yatafiti Dawa Ya UTI, Fangasi

Kamati Ya Bunge Yaipongeza TVLA Uzalishaji wa chanjo

TFRA yazindua Chama cha wafanyabiashara wa Mbolea

DIT kudhibiti nzi wa maembe kisasa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Dkt Biteko Awasili Nchini India Kwa Ziara Ya Kikazi
Next Article India Kuwekeza Katika Sekta Ya Nishati Nchini
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?