MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Dar es Salaam Kuunda Kamati Ya Kupitia Majengo Chakavu
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Dar es Salaam Kuunda Kamati Ya Kupitia Majengo Chakavu
Habari

Dar es Salaam Kuunda Kamati Ya Kupitia Majengo Chakavu

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM: MKOA wa Dar es Salaam, unatarajia kuunda Kamati Maalum itakayofanya kazi ya kupitia majengo yote katikati ya mji ambayo yamechakaa, ya muda mrefu, na yale yasiyoakisi sura ya mji kwa sasa.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema hayo Januari 30, 2025 alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mkutano mkubwa wa nishati uluomalizika hivi karibuni.
“Kwa hiyo nitapendekeza utaratibu mzuri ambao utashirikiana na wamiliki wa majengo, kuweza kupata wabia toka sekta binafsi ili kuweza kuongeza zaidi hotel, kumbi za mikutano na vitega uchumi zaidi,” amesema Chalamila.

You Might Also Like

Askofu Akemea Midoli Kuvishwa Nguo Za Ndani

Wafanyakazi fahamuni vihatarishi sehemu za kazi

Spika Tulia Kufungua Kongamano La Uhuru Wa Wanataaluma Afrika UDSM

Rais Samia Akabidhi Tuzo Kwa NSSF Ya Usimamizi,  Uratibu Wa Hifadhi Ya Jamii Kw Sekta Binafsi

TEN/MET, LHRC Zataka Iwekwe Marufuku Matumizi Ya Viboko

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Dar Sasa Kufanya Biashara Saa 24, Kuanza Februari 22 Mwaka Huu
Next Article Kanisa Lawashika Mkono Shule Ya Msingi Kibamba, Halmashauri Ya Ubungo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?