MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: RC Chalamila, Wasaidizi Wake Kukutana na Kadogosa Kuzungumzia Ujenzi Wa Reli Dar
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > RC Chalamila, Wasaidizi Wake Kukutana na Kadogosa Kuzungumzia Ujenzi Wa Reli Dar
Habari

RC Chalamila, Wasaidizi Wake Kukutana na Kadogosa Kuzungumzia Ujenzi Wa Reli Dar

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila wiki ijayo siku ya Jumanne, ataandamana na wasaidizi wake, kwenda kuzungumza na Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania, Masanja Kadogosa kwa ajili ya kujadili namna ya kuwepo Safari za treni ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam.
Chalamila amesema hayo leo alipozungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na mafanikio yaliyopatikana wakati wa mkutano wa nishati.
Amesena, ” Na kwa matinki hiyo Jumanne ya wiki ijayo, tutakaa kikao cha pamoja na Mtendaji Mkuu wa TRC Masanja Kadogosa, pamoja na wakurugenzi wetu, Ma Das na wakuu wa wilaya ili kujadiliana.
” Tutajadiliana Namna ya kujenga reli ya kawaida inayobeba abiria,” amesema.
Amesema hiyo itasaidia kuendelea kupunguza msongamano .

You Might Also Like

VETA Dodoma Waleta Mashine Kurahisishia Upekechuaji Wa Alzeti

Ndunguru: Mabadiliko Ya Tabianchi Yanachangia Kuwepo Kwa Magonjwa, Wadudu Kwenye Mazao

TPHPA Yaelezea Vipaumbele Vyake

OUT Yawapiga Msasa Watumishi Wa Mamlaka Za Serikali Za Mitaa

Washauri Serikali Kutumia Fedha Za Miradi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ridhiwani Ashiriki Kikao Cha Kazi Na Ajira Saudi Arabia
Next Article Dar Sasa Kufanya Biashara Saa 24, Kuanza Februari 22 Mwaka Huu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?