MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: RC Chalamila Ataka Reli Za Ndani Ya Mkoa Kusafirisha Abiria, Kupunguza Msongamano
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > RC Chalamila Ataka Reli Za Ndani Ya Mkoa Kusafirisha Abiria, Kupunguza Msongamano
Habari

RC Chalamila Ataka Reli Za Ndani Ya Mkoa Kusafirisha Abiria, Kupunguza Msongamano

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema Dar es Salaam ina uhitaji wa kuwa na reli za ndani ya mji ili kusafirisha wakazi wake ili kupunguza msongamano.
Chalamila ameeleza hayo wakati wa Hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa – SGR kipande cha saba na nane Uvinza Malagarasi hadi Msongati nchini Burundi.
Amesema, ” Barabara za mwendo kasi hazitatosha, tufikirie namna ya kuingia kwenye ubia tuwe na reli zitakazochukua watu hapa mjini,”.
Amesema ubia huo utashirikisha halmashauri za Dar es Salaam na wadau wa sekta binafsi.
Akizungumzia mradi huo amesema wananchi wa Dar es Salaam, wanafarijika na mradi huo.
Pia kufika reli hiyo ya Kisasa nchini Burundi itapunguza msongamano wa mizigo mkoani Dar es Salaam.
” Uwepo wa reli hii utasaidia wananchi wa Burundi kutofika Dar es Salaam ili kuchukua mizigo yao badala yake wataichukulia Kigoma,” amesema.

You Might Also Like

SUA Yawafikia Wafugaji Wa Ng’ombe Wa Maziwa Kwa Tiba Mbadala Ya Homa Ya Kiwele

Mpango Mkakati wa Takwimu wazinduliwa

Ridhiwani Aiagiza CMA Kushughulikia Migogoro Kwa Haraka, Ufanisi

OCPD Nguzo Kuu ya Utungaji Sheria – Dkt. Ndumbaro

Wahitimu 3,561 wa Mafunzo Ya Huduma Za Afya Ngazi Ya Jamii,Wapatiwa Vitendea Kazi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article SGR Kipande Cha Saba Na Nane kuanza kujengwa
Next Article Serikali Yapambana Kutokomeza Magonjwa Yaliyokuwa Hayapewi Kipaumbele
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Viongozi Watakiwa Kuweka Haki Mbele Katika Kusimamia Masuala ya Wafanyakazi — COWTU (T)
Habari November 25, 2025
Huduma za Maktaba Zabadilika: Malipo Kidijitali, Usomaji Mtandaoni
Habari November 25, 2025
Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?