MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TUGHE Kujenga Jengo La Bilioni 10, Chawapa Zawadi Wafanya Kazi Hodari Zaidi Ya Bilioni Tatu
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TUGHE Kujenga Jengo La Bilioni 10, Chawapa Zawadi Wafanya Kazi Hodari Zaidi Ya Bilioni Tatu
Habari

TUGHE Kujenga Jengo La Bilioni 10, Chawapa Zawadi Wafanya Kazi Hodari Zaidi Ya Bilioni Tatu

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
PWANI: CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania ( TUGHE), kimetoa zaidi ya Sh. Bilioni tatu mwaka jana 2024, kama zawadi kwa wafanyakazi hodari.
Aidha kwa mwaka huu 2025, TUGHE inatarajia kujenga jengo lenye thamani ya takribani Sh. Bilioni 10 likiwa na ofisi za Makao Makuu TUGHE, Hotels na Kumbi za mikutano.
Katibu Mkuu TUGHE ambaye ni Katibu Mkuu Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania ( TUCTA), Hery Mkunda amesema hayo alipozungumza na Mwandishi wa Habari wa Mfanyakazi Tanzania.
Mkunda amesema, ” Katika mwaka 2024 tumepata wafanyakazi hodari wengi ukilinganisha na mwaka uliopita 2023.
“Wafanyakazi hodari peke yake katika mwaka 2024 nchi nzima wamepata zawadi zaidi ya Sh. Bilioni tatu,”.
Mkunda amesema wafanyakazi hao wamekitangaza chama vizuri.
Kuhusu ujenzi wa jengo hilo linalogharimu Sh. Bilioni 10, amesema tayari wameshasaini mkataba na mkandarasi ambaye ataanza ujenzi muda wowote kuanzia sasa.
Amesema jengo hilo linajengwa Dodoma, litajengwa ndani ya miezi 18, litakuwa na ghorofa nane.
Mkunda pia ni Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Afrika Mashariki, pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Duniani

You Might Also Like

Tanzania Yanadi Nishati Kimataifa

Kongamano La Kwanza La Kodi Kufanyika Dar es Salaam

Polisi Yatoa Onyo Kali Kwa Waganga wa Tiba Mbadala

Aprili 2025 Matokeo Awamu Ya Kwanza, Maoni Dira Ya Taifa Na Maendeleo 2050 Kutolewa

Mbarawa Aagiza Matumizi Ya Kitufe Utambuzi Wa Dereva

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mkunda: Tumekusudia Kuongeza Wanachama, Tuwe Na Sauti Kubwa
Next Article Sekta Binafsi Zazuia Wafanyakazi Kujiunga Na Vyama Vya Wafanyakazi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Balozi wa Tanzania Nchini Italy Afurahishwa  Ubunifu wa TPHPA Maonesho ya Nanenane
Habari August 7, 2025
Wadau Wakaribishwa Kuwekeza Katika Uchakataji, Biashara ya Mkonge Nchini
Habari August 7, 2025
Mramba Afungua Mafunzo Ya Teknolojia Ya Nishati Jua Kwa Watalaam
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Miwa Zenye Tija ya Tani 200 kwa Hekta Zaendelea Kuwanufaisha Wakulima
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?