MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Madereva Mabasi YA Kukodi Waitwa LATRA Kabla YA Januari 12, Mwaka Huu
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Madereva Mabasi YA Kukodi Waitwa LATRA Kabla YA Januari 12, Mwaka Huu
Habari

Madereva Mabasi YA Kukodi Waitwa LATRA Kabla YA Januari 12, Mwaka Huu

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), inawakumbusha madereva na wamiliki wa Mabasi Maalum ya Kukodi, kuzingatia matumizi sahihi ya kitufe cha utambuzi wa dereva.
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa mamlaka hiyo, Salum Pazzy ameeleza hayo katika taarifa ya umma juu ya matumizi ya kitufe hicho.
“Madereva wasio na kitufe hicho wafike Ofisi za LATRA zilizo karibu ili kusajiliwa na kuunganishwa kabla ya Januari12, mwaka huu ili kurahisisha kazi hii,” amesema Pazzy.
Amesema mamlaka hiyo itafanya wa vitufe hivyo kwenye baadhi ya maeneo ya barabara ambayo mabasi husimama.
Awali amesema kwa mujibu wa kanuni za LATRA za magari hayo ya kukodi za mwaka 2020, yanapaswa kuunganishwa na Mfumo wa Kufuatilia Mwenendo wa Magari.

You Might Also Like

NBS: Utumiaji Wa Takwimu Nyenzo Muhimu Kwa Mama Lishe

Jackline Mzindakaya: Uteuzi wa Mwigulu Ni Chaguo Sahihi kwa Taifa

Simbachawene Asema Serikali Yajivunia Mafanikio TASAF

Watanzania lindeni Viwanda vya Ndani

Samia Kukagua Barabara Ya Mzunguko, Uwanja Wa Ndege Msalato Kesho

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ridhiwani Ashiriki Mazishi Ya Mwenyekiti SHIVYAWATA
Next Article Vipima Ulevi Zaidi Ya 3000 Vyakabidhiwa Polisi Na Latra
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?