MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Ridhiwani Ashiriki Mazishi Ya Mwenyekiti SHIVYAWATA
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Ridhiwani Ashiriki Mazishi Ya Mwenyekiti SHIVYAWATA
Habari

Ridhiwani Ashiriki Mazishi Ya Mwenyekiti SHIVYAWATA

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
TANGA:WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu –  Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete amesema marehemu Ernest Kimaya, atakumbukwa kutokana na jitihada mbalimbali alizofanya za mabadiliko ya sera zinazosimamia ustawi wa wenye mahitaji maalum.
Marehemu Kimaya alikuwa Mwenyekiti wa Shirikisho la vyama vya watu Wenye Ulemavu (SHIVYAWATA) na Mjumbe wa Baraza la Taifa la Ushauri Kwa Watu Wenye Ulemavu.
Ridhiwani amesema hayo wakati wa mazishi ya Kimaya yaliyofanyika katika Kijiji cha Mnyuzi Wilaya ya Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga.
Amesema marehemu huyo pia kati harakati mbalimbali za kutetea watu wenye mahitaji maalum.
“Namshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai wa Kimaya ambaye alianza harakati za kutetea watu  wenye mahitaji maalum toka akiwa na miaka 19 miaka ya 1990.
“Kimaya ambaye amewahi kushiriki katika harakati mbalimbali atakumbukwa kwa kazi nzuri aliyoifanya akiwa Mbunge wa Bunge maalum,” amesema Ridhiwani.
Katika mazishi hayo Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Sh. Milioni tatu za rambirambi kwa familia zilizopokelewa na binti yake Elizabeth.
Kimaya alifariki Disemba 30, 2024 Jijini Dar es Salaam katika hospitali ya Ocean Road ambapo alikuwa akipatiwa matibabu.

You Might Also Like

TARURA Yatenga Milioni 580 Kuboresha Barabara Zinazohudumia Sekta ya Madini Geita

Vijana Ni Chachu Ya Maendeleo Endelevu Wakiwezeshwa-Kikwete

Dkt Biteko Awasili Nchini India Kwa Ziara Ya Kikazi

Kingoba : Sheria Inawataja Waliotoa Mchango Sekta Ya Habari Ambao Sio Waandishi Wa Habari

Rais Samia Aipa Neema Miradi Ya Kuzalisha Umeme Iringa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article UDSM Chang’ara STICE – 2024 Kupitia Mhadhiri Na Mtafiti Wake Dkt. Mmochi
Next Article Madereva Mabasi YA Kukodi Waitwa LATRA Kabla YA Januari 12, Mwaka Huu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?