Nenda moja kwa moja kwenye maudhui
November 6, 2026
Habari Lucy Ngowi 9

Waziri Mkuu Majaliwa Amwakilisha Dkt.Mpango Mahafali Ya 43 OUT

Na Mwandishi wetu
KIGOMA:WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba tano, 2024 amemwakilisha Makamu wa Rais Dkt. Philip  Mpango katika Mahafali ya 43 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yanayofanyika katika viwanja vya Kawawa, Mkoani Kigoma.
Mahafali hayo pia yanahitimisha maadhimisho ya miaka 30 tangu chuo hicho kianze kutoa mafunzo mwaka 1994.
Je, habari hii ilikusaidia?
Sambaza

Maoni 0

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!

Acha maoni

Barua pepe yako haitachapishwa. Sehemu zenye * ni lazima.