Nenda moja kwa moja kwenye maudhui
November 6, 2026
Habari Lucy Ngowi 4

Rais Samia Aongoza Waombolezaji Kutoa Heshima Za Mwisho Kwa Mbunge Ndungulile

Na Mwandishi Wetu
DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwaongoza waombolezaji mbalimbali, wakiwemo viongozi wa Chama na Serikali, wakati wa kutoa heshima na kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika ka Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, Faustine Ndugulile, leo Jumatatu,  Disemba mbili, 2024, katika Viwanja vya Karimjee, jijini Dar Es Salaam.
Je, habari hii ilikusaidia?
Sambaza

Maoni 0

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!

Acha maoni

Barua pepe yako haitachapishwa. Sehemu zenye * ni lazima.