MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Afrika yatakiwa kutokuwa na Matabaka katika kutekeleza AFCFTA 
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Afrika yatakiwa kutokuwa na Matabaka katika kutekeleza AFCFTA 
Habari

Afrika yatakiwa kutokuwa na Matabaka katika kutekeleza AFCFTA 

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
3 Min Read
Na Mwandishi Wetu
ADDIS ABABA ETHIOPIA: NCHI Wanachama wa Mkataba wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA), zimetakiwa kushirikiana kwa sauti moja yenye nguvu bila kujenga matabaka yoyote katika kutekeleza mkataba huo ambao utaiwezesha Afrika kujitegemea katika kuleta maendeleo ya  Kiuchumi, Kisiasa na Kiutamaduni.
Aidha nchi hizo zimetakiwa kuhakikisha zinatekeleza kwa vitendo makubaliano katika mkataba huo ili kuweza kujitegemea ndani ya Afrika, kupunguza madhara ya misukosuko ya uchumi wa dunia na kuweka mikakati imara katika kuifikia ajenda 2063 ya Afrika.
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo ambaye ni Mwenyekiti wa Mkutano wa 15 wa Baraza la Mawaziri wa AfCFTA  ameeleza hayo alipokuwa akifungua mkutano uliofanyika Addis Ababa nchini Ethiopia.
Katika Mkutano huo, Jaffo ameeleza  jinsi Tanzania inavyochukua hatua mbalimbali katika kutatua changamoto za ufanyaji biashara chini ya AfCFTA kama ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR inayounganisha Bandari ya Dar es salaam na nchi jirani.
Pia Mradi wa Bwawa  la umeme la Julius Nyerere (JNHPP) wa Megawati 2115, ujenzi wa viwanja vya ndege, miundombinu ya barabara, uboreshaji wa bandari za Dar es salaam, Tanga, na Mtwara, uimarishaji wa mifumo ya kidigitali na urekebishaji wa Sera ya Biashara mwaka 2003 kuwa na toleo la 2023 inayolenga kuongeza fursa za ushiriki katika biashara kwa sekta binafsi hususani wanawake na vijana.
Amesema biashara baina ya nchi za Afrika kwa kutumia taratibu na vigezo vya AfCFTA imeanza kuongezeka ambapo Tanzania, imetoa jumla ya Vyeti vya Uasili wa bidhaa vipatazo 131 kwa Makampuni
Naye Rais wa Jamhuri ya Ethiopia, Taye Atske Selassie amesisitiza kuwa AfCFTA ni zaidi ya mkataba wa biashara bali ni chombo chenye nguvu kitakachosukuma ukuaji wa kiuchumi, kuimarisha ushirikiano kati ya nchi za Afrika.
Pia kuongeza biashara na ajira, kupunguza umasikini, kuimarisha usalama wa chakula, kukuza usawa wa kijinsia, na kuharakisha utekelezaji wa Ajenda 2063 ya Umoja wa Afrika
Vilevile, Katibu Mkuu wa AfCFTA, Wamkele Mene amesisitiza nchi Wanachama kuendelea kuboresha sera, kurahisisha ufanyaji biashara na kukuza ushirikiano imara kati ya sekta za umma na binafsi.

You Might Also Like

Mkandarasi wa mradi wa REGROW, Kilolo  atakiwa kuongeza Kasi.

Ridhiwani Aiagiza CMA Kushughulikia Migogoro Kwa Haraka, Ufanisi

Mdemu Azindua Utafiti Uliofanywa na FES Kwa Kushirikiana Na COTWU – T

TRC, Wananchi Burundi Wakutana Utekelezaji Mradi wa SGR

UTT AMIS Yazindua kampeni ya ‘Kijiwe Mchongo

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kamati Ya Bunge Ya Ustawi Na Maendeleo ya Jamii, Yaipongeza Serikali Uwekezaji Kiwanda Cha Chai
Next Article Mpogolo Aipongeza Halmashauri Maandalizi Mikopo Asilimia 10
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Viongozi Watakiwa Kuweka Haki Mbele Katika Kusimamia Masuala ya Wafanyakazi — COWTU (T)
Habari November 25, 2025
Huduma za Maktaba Zabadilika: Malipo Kidijitali, Usomaji Mtandaoni
Habari November 25, 2025
Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?