MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Rafiki Mkubwa wa Trump, Elon Musk atanufaika vipi baada ya kumuunga mkono?  
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Rafiki Mkubwa wa Trump, Elon Musk atanufaika vipi baada ya kumuunga mkono?  
Habari

Rafiki Mkubwa wa Trump, Elon Musk atanufaika vipi baada ya kumuunga mkono?  

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Mwandishi Wetu

 USHINDI wa Donald Trump wa kurudi tena katika Ikulu ya Marekani, kutaweza kuwa neema kwa mfuasi wake mkubwa Elon Musk.

Tajiri Elon Musk anayeelezwa kuwa ni tajiri mkubwa nchini Marekani alisalia na Trump wakati wa kampeni zake na hata uchaguzi mkuu uliofanyika Novemba nne, mwaka huu.

Hivyo wadadisi wa siasa wanaeleza kuwa kurudi Ikulu kwa Trump kunaweza kuwa ushindi kwa Musk ambaye hata wakati ambapo matokeo yalitolewa ndiye aliyekuwepo na mgombea huyo.

Hata kwenye hotuba yake, Trump alitumia dakika kadhaa kumsifia rafiki yake huyo.

Musk aliunga mkono chama cha Republican mara tu baada ya jaribio la kumuua Trump huko Butler, Pennsylvania mwezi Julai, mwaka huu.

 

Akiwa mmoja wa waungaji mkono muhimu wa rais mteule, bilionea huyo wa teknolojia alichangia zaidi ya $119m (£92m) kufadhili kundi la kumuunga mkono Trump Super PAC lililomfanyia kampeni Donald Trump.

 

You Might Also Like

Bil 67 Zatumika Kujenga Barabara, Masoko  Mwanza-Profesa Shemdoe

Miradi Dodoma Yamkuna Rais Samia

Abiria Mil 2.51  Wasafirishwa Na SGR Kuanzia Julai 2025 Hadi Sasa

Geita Ina Dhahabu Lakini Haina Maendeleo” – Salum Mwalim

NIC Yaimarisha Uhusiano na Wateja Maonesho ya Teknolojia ya Madini Geita

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Rais Samia Kuzindua Mfuko wa Mikopo Wenye Kianzio Cha Sh. Bilioni 2.3
Next Article Waziri Pinda ashiriki mazishi ya Jaji Kipenka
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Waziri Kijaji: Huduma ya Kudungwa na Nyuki Kuongeza Kinga Yavutia Bungeni
Habari May 15, 2026
Serikali  Kutumia Fursa  ya AFCON,  Miss World Na IPU Kukuza Utalii Nchini
Habari May 15, 2026
TFS Yavunja Rekodi Utalii Wa Misitu,Mapato Yapaa Kwa Asilimia 43
Habari May 15, 2026
Serikali Kuimarisha Uvuvi Bahari Kuu Kupitia TAFICO
Habari May 14, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?