Nenda moja kwa moja kwenye maudhui
November 7, 2026
Habari Lucy Ngowi 4

Mafunzo Yatolewa Katika Kongamano La Jotoardhi

Na Mwandishi Wetu
WASHIRIKI  kutoka nchi mbalimbali duniani wakiwa katika mafunzo yanayofanyika kwenye Kongamano la Kimataifa la Jotoardhi Afrika ( ARGeo-C10) linaloendelea jijini Dar es Salaam.
Mafunzo hayo yanahusu masuala mbalimbali ikiwemo uzalishaji wa umeme kwa kutumia nishati ya Jotoardhi, uhandisi wa visima vya Jotoardhi na teknolojia mpya, njia za kupata ufadhili wa miradi ya nishati  mbadala ikiwemo jotoardhi na uchambuzi wa faida za kimazingira na kijamii katika maendeleo ya miradi ya jotoardhi.
Je, habari hii ilikusaidia?
Sambaza

Maoni 0

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!

Acha maoni

Barua pepe yako haitachapishwa. Sehemu zenye * ni lazima.