MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Ujenzi wa Majengo Mapya 67 Ya Halmashauri Yamekamilika-Mchengerwa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Ujenzi wa Majengo Mapya 67 Ya Halmashauri Yamekamilika-Mchengerwa
Habari

Ujenzi wa Majengo Mapya 67 Ya Halmashauri Yamekamilika-Mchengerwa

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawalam za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa amesema mpaka sasa majengo ya Utalawa ya Halmashauri 67 ujenzi wake umekamilika na majengo mengine 60 yapo katika hatua mbalimbali za ukamilishaji.

Mchengerwa ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa Jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga lililozinduliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan lililojengwa katika Kata ya Kigonsela wilayani mbinga leo Septemba 25,2024.

Amesema Rais ulipoingia tu madarakani alitoa sh bilioni 206.24 kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya utawala ya Halmashauri, nyumba za Wakurugenzi pamoja na nyumba za Wakuu wa Idara ili kuboresha mazingira ya kutolea huduma kwa wananchi.

 

“Napenda kukufahamisha kuwa mpaka sasa majengo ya utawala 67 yamekamilika na sasa wananchi wanapata huduma karibu kabisa na maeneo yao”.

Akizunguzumzia Jengo hilo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Joseph Rwiza amesema jengo hilo limegharimu kiasi cha sh bilioni 3.2 kati ya sh bilioni 3.5 zilizokua zimetengwa na kiasi kikichobakia ni kwa ajili ya kazi ndogo ndogo zilizobakia.

“Mhe Rais Jengo hili la Halmashauri lina jumla ya Ofisi sabini na mbili kwa ajili ya Mwenyekiti wa Halmashauri, Mkurugenzi, Wakuu wa Idara pamoja na Wasaidizi wao wote, na zaidi kuna kumbi mbili za Mikutano kwa ajili ya Mikutano ya Vikao vya Menejimenti na vile Kamati pamoja na Baraza la Madiwani’ amesema.

Ameongeza kuwa Jengo limesaidia sana upatikanaji wa huduma kwani awali Mkurugenzi pamoja na Wakuu wa Idara walikua wanakaa mbalimbali hivyo mwananchi kupata usumbufu wa kutoka Ofisi moja kwenda nyingine lakini kwa sasa huduma zote zinapatikana ndani ya jengo moja.

’

You Might Also Like

Trump Kusitisha Sheria Za AGOA, Afrika Yapata Hasara

Maofisa Habari Watoe Taarifa Sahihi Ziwafikie Wananchi

Mgombea Urais CHAUMMA Asema Nchi Inahitaji Mawazo Mapya

Afrika ijadili changamoto sekta ya utalii – UN

TARI Yakutanisha Wadau Afya Ya Udongo

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Usekelege: Kati ya Migogoro Tunayoipokea Ipo ya Wafanyakazi Majumbani
Next Article Rais Samia Afungua Barabara Ya Mbinga-Mbamba Bay Yenye Km 66-Ruvuma
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?