MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wahifadhi Saohill Wapongezwa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wahifadhi Saohill Wapongezwa
Habari

Wahifadhi Saohill Wapongezwa

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Maliasili na Utalii Balozi, Dkt. Pindi Chana amewapongeza wahifadhi Shamba la Miti la Saohill kwa utekelezaji mzuri wa majukumu .

Katika ziara hiyo aliyoifanya leo Septemba 10, 2024, . Chana amepokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya uendelezaji wa shughuli za shamba kutoka kwa Mhifadhi Mkuu wa Shamba PCO. Tebby Yoramu ikiwa ni uzalishaji wa miche, uvunaji wa miti na utomvu, ufugaji nyuki na utalii ikolojia.

 

Kwa upande mwingine Waziri Chana amehimiza wahifadhi kuwa na ushirikiano baina yao na wananchi ikiwa ni pamoja na kuendelea kuwa na maadili mema katika utendaji wao lakini pia kuwepo mfumo wa upatikanaji wa taarifa za maeneo yote ya shamba kwa ukaribu zaidi.

Aidha, amewataka wahifadhi kuendeleza juhudi za kulinda misitu dhidi ya matukio ya moto ambayo yanayotokea hususani katika kipindi hiki cha kiangazi.

“Licha ya kuwepo kwa changamoto ya moto katika maeneo ya hifadhi tunapaswa kutumia teknolojia za kisasa katika kupambana na matukio ya moto ikiwepo matumizi ya ndege zisizo na rubani ili kurahisisha utambuzi wa matukio ya moto kwa haraka” amesema Waziri Chana.

Pia amesisitiza kuwepo kwa usimamizi mzuri wa rasilimali za misitu na nyuki katika maeneo ya hifadhi ili kuepusha migogoro inayotokana na uvamizi wa maeneo unaofanywa na wananchi katika hifadhi.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki, Deusdedit Bwoyo amesema kuwa Wizara kupitia Idara ya Misitu na Nyuki itaendelea kuhakikisha kuwa inatoa ushirikiano ili kuhakikisha kunakuwa na utendaji mzuri zaidi na kushughulikia changamoto mbalimbali zinazokwamisha utakelezaji wa baadhi ya majukumu ya ki uhifadhi.

You Might Also Like

Ridhiwan Kikwete aitaka LESCO kushirikiana na serikali

‘Jichunge’ Programu Ya Simu Yenye Mafanikio Katika Kuboresha Matumizi Ya Dawa Kinga Dhidi Ya VVU

Ridhiwani: Maandalizi Mei Mosi  Yafikia Asilimia 88

Rais Samia akunwa na Tarura

Waziri wa Vijana akutana na Mwita wa Zanzibar

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mongella Atoa Maagizo Maalum Kwa Viongozi CCM
Next Article Thamani ya Fedha Ionekane Kwenye Utekelezaji wa Miradi-Nyamoga
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Nishati Safi Kwa Kila Mtanzania Inawezekana – Saidy
Habari August 7, 2025
Bodi ya Maziwa Yatoa Mafunzo ya Ubora, Usalama wa Maziwa Katika Maonyesho ya Nane Nane
Habari August 7, 2025
Balozi wa Tanzania Nchini Italy Afurahishwa  Ubunifu wa TPHPA Maonesho ya Nanenane
Habari August 7, 2025
Wadau Wakaribishwa Kuwekeza Katika Uchakataji, Biashara ya Mkonge Nchini
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?