MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Bonifas Jacob aahidi  akishinda Uenyekiti Kanda ya Pwani hatakaa ofisini
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Bonifas Jacob aahidi  akishinda Uenyekiti Kanda ya Pwani hatakaa ofisini
Habari

Bonifas Jacob aahidi  akishinda Uenyekiti Kanda ya Pwani hatakaa ofisini

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Mwandishi Wetu

MTIA nia wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani Bonifas Jacob amesema akishinda nafasi hiyo hatakaa ofisini.
Jacob maarufu kama ‘ Bonny Yai’ amesema hayo wakati akirudisha fomu ya kugombea nafasi hiyo.
Maelezo ya Jacob, baada ya kurudisha fomu hiyo,”Nitapiga ziara za Mkoa kwa Mkoa, Wilaya kwa Wilaya, Jimbo kwa Jimbo, Kata kwa Kata, Mtaa kwa Mtaa, Kitongoji kwa Kitongoji. Mwenyekiti wa Kanda atakuwa mtaani, hatakuwa ofisini,” .

Kwa upande mwingine, Jacob amesema endapo hatashinda nafasi hiyo hatalialia.
“Kama Kura hazitatosha hata nikishindwa sitapiga kelele ovyo kwa sababu nimeikosa nafasi hii. Nitachukulia wakati wangu bado,” amesema.

You Might Also Like

Waendelezaji Majengo 103 Kesi Ziko Mahakamani, -AQRB

TUGHE, DMF wateta na Ridhiwan Kikwete

Boti yazama abiria 14 kati ya 21 waokolewa

Uvuvi Wa Kisasa Wainua Mwanza Kiuchumi

Chalamila: Serikali Imewekeza Kupatikana Wataalamu Wa Usingizi, Yapunguza Vifo Vinavyotokana Na Upasuaji

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Biteko Atoa Somo Uzalishaji Matumizi ya NIishati Afrika
Next Article Wahandisi 428 Wajengewa Uwezo Kukuza Taaluma
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Huduma za Maktaba Zabadilika: Malipo Kidijitali, Usomaji Mtandaoni
Habari November 25, 2025
Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?