MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Makalla aitaka Halmashauri Longido kutenga fedha, ujenzi wa uzio Samia Girls
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Makalla aitaka Halmashauri Longido kutenga fedha, ujenzi wa uzio Samia Girls
Habari

Makalla aitaka Halmashauri Longido kutenga fedha, ujenzi wa uzio Samia Girls

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimeitaka Halmashauri ya Manispaa ya Longido iliyopo Arusha, kutenga fedha kwa ajili ya kuanza ujenzi wa uzio wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Longido Samia Girls kwa lengo la kuimarisha ulinzi.
Katibu wa Halmashauri Kuu CCM Taifa(NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, ameeleza hayo alipotembelea shule hiyo ya sayansi ya wasichana ya kidato cha tano na sita akiwa katika ziara yake mkoani Arusha.
Makalla amesema ili kuhakikisha usalama wa wanafunzi hao inapaswa halmashauri hiyo itoe fedha kwa ajili ya kuanzisha msingi wa ujenzi wa uzio, kisha atazungumza na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa  (Tamisemi), kwa lengo la kumalizia ujenzi huo.

You Might Also Like

TASAC Yashuhudia Utiaji Saini  Mkataba Wa Uendeshaji Bandari Kavu Kwala

Program Ya Maeneo Yaliyochakaa Nchini Yaandaliwa

Rais Samia atambua mchango wa NHIF, WCF

TARI Yawapa Elimu Wakulima, Maofisa Ugani 165 Kilimo Cha Matunda

Bashungwa Asema Wafungwa Kupewa Mafunzo Ya Ufundi Stadi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ridhiwan Kikwete aitaka LESCO kushirikiana na serikali
Next Article Biteko Atoa Somo Uzalishaji Matumizi ya NIishati Afrika
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Fema Mining & Drilling Mfano wa Kuigwa – Musukuma
Habari September 23, 2025
Mgodi Wa Dhahabu Wa Nyanzaga Kunufaisha Wananchi, Ujenzi Wazidi Kupaa
Habari September 23, 2025
Sekta Ya Madini Yazidi Kuchangia Ukuaji Wa Uchumi – Majaliwa
Habari September 23, 2025
Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?