MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mkandarasi wa mradi wa REGROW, Kilolo  atakiwa kuongeza Kasi.
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mkandarasi wa mradi wa REGROW, Kilolo  atakiwa kuongeza Kasi.
Habari

Mkandarasi wa mradi wa REGROW, Kilolo  atakiwa kuongeza Kasi.

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Sixmund Begashe – Iringa
NAIBU  Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia Maliasili Kamishna wa Polisi Benedict Wakulyamba, amepongeza kazi nzuri na kasi ya ujenzi wa Kituo cha Utafiti cha Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI) .
Kituo hicho kinajengwa kama sehemu ya utekelezaji wa Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili Kukuza Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW).
Wakulyamba ametoa pongezi hizo alipotembelea eneo la Kihesa Kilolo Iringa, kunapotekelezwa Mradi wa REGROW  kwa lengo la kujionea namna hatua za utekelezaji wa mradi huo.
Akitembela Kituo cha taarifa kwa wageni chini ya Bodi ya Utalii Tanzania, Wakulyamba hakuridhishwa na kasi ya Mkandarasi wa jengo hilo, na kumtaka ajitafakari kwa kuwa hadi sasa yupo nyuma ya malengo yaliyowekwa.
Naye Mhandisi Mkazi na Meneja wa Mradi, Wilfred Saitoria, ameelezea kuwa utekelezaji wa ujenzi wa miradi hiyo ni kuwa jengo la  TAWIRI limefikia  asilimia 67 zaidi ya lengo kuwa ilikuwa  lifikie asilimia  46 na linajengwa na jengo la  TTB limefikia  asilimia 28 wakati ujenzi ukitakiwa uwe umefika asilimia 64 .

You Might Also Like

TRA: Serikali imemgusa mkulima kupitia mabadiliko ya sheria

JAB Yatoa Mwezi Moja Kuthibitishwa, kupewa vitabulisho

Watafiti, Wabunifu Waendelezwe Wasivunjwe Moyo- Biteko

Mwanafunzi UDSM Aja Na Nyama Ya Mimea

Kamati Ya Bunge Yakagua Mradi Wa Nyumba NSSF

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ridhiwan Kikwete awasilisha taarifa mwenendo wa ulipaji mafao
Next Article Ridhiwan Kikwete aitaka LESCO kushirikiana na serikali
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Singida Yapokea Zaidi Ya Milioni  Moja 
Habari July 5, 2025
THBUB Mdau Mkubwa Utekelezaji Wa Majukumu 
Habari July 5, 2025
NBS: Utumiaji Wa Takwimu Nyenzo Muhimu Kwa Mama Lishe
Habari July 5, 2025
FCC Yatoa Elimu Ya Ushindani Wa Kibiashara Katika Maonesho Ya  Biashara
Habari July 5, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?