Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete ameongoza timu ya Wizara yake kuwasilisha taarifa ya mwenendo wa Ulipaji wa mafao ya Wastaafu Bungeni.

Ridhiwan amesema katika kikao hicho, serial imewahakikishia kuwa changamoto zilizokuwa zinakabili mifuko zimeendelea kutatuliwa na wanachama wakiendelea kulipwa ndani ya muda wa siku 60.