MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: UDSM,YULHO kujenga kituo cha kupima madini
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > UDSM,YULHO kujenga kituo cha kupima madini
Habari

UDSM,YULHO kujenga kituo cha kupima madini

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa kushirikiana na Kampuni ya YULHO kutoka Korea Kusini wanatarajia kujenga kituo kikubwa kitakachokuwa kinapima aina zote za madini zinazopatikana nchini.
Akizungumza wakati wa kutia saini makubaliano hayo, Makamu Mkuu wa chuo, Proesa William Anangisye amesema kuwepo kwa kituo hicho kitakachogharimu zaidi ya Sh Bilioni 27 kitapunguza gharama ya kupeleka sampuli nje kwa ajili ya  kupima.
“Uwepo wa kituo hiki  kitaharakisha upatikanaji wa sampuli za madini ikiwa ni pamoja na kurahisisha mchakato mzima wa majibu ya vipimo,,” amesema.
Amesema pamoja na maabara itakayojengwa kituoni hapo pia kutakuwa na  shule ya kufundisha wataalamu wa madini.
“Kituo hiki kitakuwa ni sehemu ya kichocheo cha kufanya utafiti zaidi kwa watanzania na kuongeza ujuzi,” amesema.
Kwa upande wake Rais wa Kampuni ya YULHO, Jae Seong Lee amesema lengo la kujenga kituo hicho nchini ni kusambaza teknolojia mpya za upimaji na utafutaji madini na kuongeza ajira kwa watanzania.
Naye Kaimu wa Shule Kuu ya Madini na Jiosayansi,  Dkt Abubakary Salama amesema kituo hicho kikkamilika kitakuwa na ajira ya zaidi watu 125 ambao 25 watatoka UDSM na zaidi ya 100 watakuwa nje ya chuo.
Amesema ujenzi huo unaanza mwaka huu wa fedha na unatarajiwa kukamilika ndani ya miaka miwili.

You Might Also Like

Kichina Chatamba UDSM: Walimu Watanzania, Wachina Wapewa Tuzo kwa Umahiri

Profesa Ndunguru: Tumewezesha Usafirishaji wa Mazao Mbalimbali Yenye Thamani ya Trilioni 15.6

CMSA Yatoa Elimu ya Uwekezaji kwa Wananchi na Wakulima Nanenane

TAKUKURU kuelimisha madhara ya rushwa wakati wa uchaguzi

Watanzania lindeni Viwanda vya Ndani

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Rais Samia azindua skuli ya maandalizi Tasani
Next Article Wafanyakazi fahamuni vihatarishi sehemu za kazi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Tume ya Kurekebisha Sheria Yaelimisha Umma Kuhusu Haki za Wanyama
Habari August 6, 2025
Bundi Wasaidia Kupambana na Panya: Teknolojia Asilia Inayobadili Maisha ya Wakulima
Habari August 6, 2025
Ofisa wa TARI Kuwapo Kila Kituo cha Umwagiliaji – Naibu Katibu Mkuu
Habari August 6, 2025
Mbinu Mpya za Kilimo kwa Vijana Zapata Umaarufu Nanenane Banda La VETA
Habari August 6, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?