MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Waziri Jenista akabidhiwa ofisi rasmi na Ummy Mwalimu
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Uncategorized > Waziri Jenista akabidhiwa ofisi rasmi na Ummy Mwalimu
Uncategorized

Waziri Jenista akabidhiwa ofisi rasmi na Ummy Mwalimu

Penina Malundo
By Penina Malundo
Share
1 Min Read

 

Na Mwandishi wetu

Waziri wa Afya Jenista Mhagama leo Agosti 16, 2024 amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Afya,Ummy Mwalimu.

Shughuli ya makabidhiano ya ofisi imefanyika Leo tarehe 16 Agosti, 2024 katika Ofisi za Wizara katika Mji wa Serikali, Mtumba, Dodoma.

Jenista amempongeza Ummy Mwalimu kwa uongozi wake ndani ya Wizara ya afya kwa kipindi chote alichofanya kazi ndani ya Sekta ya Afya kwa miaka 14.

“Nakupongeza  Ummy Mwalimu hakika maendeleo haya ya Sekta ya Afya una mchango mkubwa katika kuifikisha Sekta ya Afya hapa ilipo, tutaendelea kushirkiana na kupeana ushauri zaidi katika kazi” amesema Waziri Mhagama.

Akikabidhi Ofisi Ummy Mwalimu amempongeza  Jenista Mhagama kwa kuaminiwa na kuchaguliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri wa Afya.

“Umekuwa Kiongozi mwenye uzofu wa kutosha ndani ya Serikali naamini kwa uwezo wako ulionao pamoja na timu hii ya Wizara unaweza kuendelea zaidi katika kuboresha Sekta ya Afya nchini” amesema Ummy Mwalimu.

Viongozi wengine wageni walioshiriki kwenye shughuli hiyo ni Naibu Katibu Mkuu,Ismail Rutamila ambaye pia ameahidi kutoa ushirikiano kwa Menejimenti na Viongozi katika kuboresha Sekta ya Afya nchini pamoja na Dkt. Irene Isaka, Mkurugeni Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima

You Might Also Like

Bandari ya Kilwa kuleta mapinduzi sekta ya uvuvi nchini

Jaffo :Wafanyabiashara Tanzania, Iran watakiwa kushirikiana kwa pamoja katika Biashara, Uwekezaji

Hakuna Vituo Bandia vya Kuandikisha Wapigakura:Mchengerwa

GWSON yawakumbuka watoto wenye vichwa vikubwa,mgongo wazi kumbukizi ya Mwl.Nyerere

PURA, M&P zajadili mradi wa uchorongaji visima vya gesi Mnazi Bay

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Changamoto uchakataji Mkonge kupatiwa ufumbuzi
Next Article Magonjwa ya misuli yaongezeka mahala pa kazi-OSHA
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
BoT Yarahisisha Uuzaji wa Dhahabu kwa Wachimbaji, Yatoa Punguzo La Mrabaha
Habari September 22, 2025
Waziri Mkuu Apongeza Huduma Kidijitali za NSSF, Maonesho Ya Madini Geita
Habari September 22, 2025
Mkuu Wa Mkoa Shinyanga Asifu Kazi Ya Bodi Bima Ya Amana
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?