MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Jisajilini mapema mpate mbolea ya ruzuku
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Jisajilini mapema mpate mbolea ya ruzuku
Habari

Jisajilini mapema mpate mbolea ya ruzuku

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
DODOMA: Wakulima nchini wameshauriwa kujisajili mapema ili wapate mbolea ya ruzuku itakayowawezesha kuzalisha mazao kwa tija.
Kaimu Mkurugenzi  Uzalishaji wa Ndani na Ununuzi wa pamoja ambaye pia ni Mwenyekiti wa Mbolea ya ruzuku kitaifa Louis Kasera ametoa ushauri huo katika banda la Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea ncini ( TFRA), lililopo katika Maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi yanayofikia kilele chake kesho.
Akizungumza na waandishi wa habari kwwnye maonesho ya wakulima na wafugaji (88) kwenye banda la Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea nchini (TFRA) amesema malengo ya setikali ni kuandikisha wakulima milioni saba lakini mpaka sasa waliojisajili ni wakulima milioni nne tu.
Amesisitiza kuwa ifikapo mwishoni mwa mwaka msimu wa kilimo ujao wawe wamefikia idadi iliyotarajiwa.
Vile vile amesema kwa ambao walishajisajili kipindi cha nyuma wanapaswa kuuhisha taarifa zao kwa alama za vidole ili mkulima ajulikane alipo lakini pia ijue mkulima huyo ni nani.
“Ninachoomba wakati wa kujisajili na kuuhisha taarifa zao,watoe taarifa sahihi ili waweze kufikiwa walipo.”amesema.
Vile vile  amesema mbolea ipo ya kutosha hivyo amewaasa wakulima wanunue mbolea mapema ili kuangalia kwenye upungufu ipelekwe huko.
“Kwa sasa msimu ndiyo umeanza lakini tuna tani 300,000 za mbolea ya kupandia na kukuzia .”amesema.
Kwa mujibu wa Kasera,hali ya mbolea ni ya kutosheleza huku akisema mwaka huu lengo ni kufikia tani milioni moja na kwamba asilimia 30 tayari ipo ndani ya nchi na bado kuna meli zipo njiani zimebeba mbolea .
Kasera amesema ,hapa nchini kuna viwanda viwili cha Minjingu na Intracom ambavyo vina uwezo wa kuzalisha zaidi ya tani 850,000.
“Matarajio ya kiwanda cha Itracom ni kuzalisha tani zaidi ya laki sita,na Minjingu tani zaisi ya 250,000 ,kwa hiyo utaona viwanda vya ndani uzalishaji wake ni zaidi ya asilimia 50 ,lengo la serikali ni kuondoa utegemezi ,tunataka ifikapo 2030 tuwe tunajitosheleza kwa mbolea ya ndani.”amesema.

You Might Also Like

Wananchi Wahimizwa Kulinda Maeneo Yaliyohifadhiwa  Kisheria- Kamishna  Wakulyamba

Profesa Nombo Azindua Miongozo Ya Usimamizi Ya Utafiti, Ubunifu COSTECH

Kamati Ya Bunge Ustawi Na Maendeleo Ya Jamii Yaridhishwa Wananchi Wanavyofikiwa

TEA Yaanza Utekelezaji Miradi Ya Amali Zanzibar

Chatanda: Rais Ametuletea Kiongozi Bora Atakayetusaidia Kutekeleza Ilani Ya CCM

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TPHPA ina mchango mkubwa utoshelevu wa chakula – Profesa Ndunguru
Next Article NIT yawapika vijana
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?